Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

haaaa hayo ndo mazoezi makali sana
 
hili vugu vugu ni kutoka hapo hapo lumumba kwa maana membe sio mwanachadema yaani si kamanda, magufuli kaa tambua vita vya ndani ya chama ni vibaya kuliko ukimwi. anguko lako laja wanaokupigia makofi leo kesho watakurushia makopo.
 
We baki unayoyoma Mbowe, mbowe huku ccm jiwe yafa nawe fuata upepo utachotwa humo humo.
Jiwe kila mtu kamgeuza adui, wastaafu, wafanyabiashara, watumishi na raia wasio na kundi lolote


Hakuna shida, hata kama mnamtaka Membe au Nape wote ni CCM hivyo inaonyesha hamjiamini na hamko tayari kushika dola kwani mnapenda CCM itawale.

Lkn habari ndo hiyo, Mbowe kafuta Uchaguzi mkuu chadema!
 
Manunuzi waliyofanya yatawagharimu sana CCM...

Wengi wa wabunge na madiwani toka upinzani kwenda CCM walionunuliwa ni kaa la Moto huko CCM ...Pole pole na wenzake wamechemka sana..
 
Afadhali hata huyo Membe, lakini huyo pogba wa magogoni asiyejua kiingereza anaharibu nchi tu
Bora uongee hoja zingine na siyo inshu ya kiingereza ,

Watanzania wengi hatujui kiingereza , alafu kiingereza sio maendeleo,

Aliyepita mbona alikua anajua kiingereza , Sasa kimetusaidia nn ??
 
Mtu ambaye hana woga na Jpm ni makonda tu ambaye ni mtoto mtiifu ila hawa wengine ni mijusi tu eti adinde mbele ya aliyeshika nchi
Mwenyewe nashangaa hapa kunaweza kuwa kuna mambo mawili matatu
 
Hahahaha watu wamevurugwa vibaya mno[emoji23][emoji23][emoji23] Membe nae akiingia akazingua warudi kusema bora Magu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…