Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haaaa hayo ndo mazoezi makali sanaBernard Kamilius Membe akifanya mazoezi makali sana ya kukimbia. Nikawaida yake kujiweka fiti kimwili na kiakili kwa kula kiafya na kufanya mazoezi hili awatumikie watanzania walioshakata tamaa kwa itawala mbovu wenye choyo ufusidi na wakuwagawanya wananchi kwa matabaka.
View attachment 914322
Atawale tu make akili haziwatoshiAkipewa mitano au saba ingine itaonekana ni kama miaka 1000
Aiseee Mungu haepushilie mbali mika hii mi5 yatosha.Akipewa mitano au saba ingine itaonekana ni kama miaka 1000
ni kweli hajamaliza muda wake bali muda ndio umemtupa mkonoMagu hajamaliza mda wake mkuu
We baki unayoyoma Mbowe, mbowe huku ccm jiwe yafa nawe fuata upepo utachotwa humo humo.
Jiwe kila mtu kamgeuza adui, wastaafu, wafanyabiashara, watumishi na raia wasio na kundi lolote
Manunuzi waliyofanya yatawagharimu sana CCM...Nimecheka Sana hii combination ya Chadema na ccm haijawahi tokea kweli Membe for presidence
Nini kimetokea kwa elimu yangu hapa nimetoka kapa kabisa labda ikifika kesho Jtatu nitajua maana Leo Jpili
Kweli siasa ya science Huu upendo na kupendana kwa ccm na Chadema nini kimetokea?
Bora uongee hoja zingine na siyo inshu ya kiingereza ,Afadhali hata huyo Membe, lakini huyo pogba wa magogoni asiyejua kiingereza anaharibu nchi tu
Anafanya mazoezi na miwani
Mwenyewe nashangaa hapa kunaweza kuwa kuna mambo mawili matatuMtu ambaye hana woga na Jpm ni makonda tu ambaye ni mtoto mtiifu ila hawa wengine ni mijusi tu eti adinde mbele ya aliyeshika nchi
Why hajalala mkuu.?unaambiwa hajalala wiki ya pili sasa !
duh !!Membe ni mara elfu, lkn sio huyu limbukeni wa madaraka
Ngoja haivumi , kinachovuma ni upepo ,'Ngoma ikivuma sana vuuu vuuu jua inakaribia kupasuka'
Hahaha nani pogba mkuu?Afadhali hata huyo Membe, lakini huyo pogba wa magogoni asiyejua kiingereza anaharibu nchi tu
Wanajifurahisha mkuuWhy hajalala mkuu.?