Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Membe kwanza CCM baadae,Mambo ya kusema kila rais chini ya CCM aongoze miaka 10 imepitwa na wakati,hii miaka mi3 tu inaonekana kama 100 ndio apewe mingine mi5? Hapana Membe ATOSHA.
Woooyoooooooo.... Member membe. Magulia kitu
 
Sultani Mbowe kafuta Uchaguzi chadema, hiyo ndo habari ya mujini!
Haahahaahahah waache waendelee kuishabikia CCM .......CCM OYEEEEEE
MAGUFULI OYEEEEEEEE
MAKONDA OYEEEEEEE
BASHIRU OYEEEEE
WAZIRI WA SHERIA OYEEEEE
YESU OYEEEEEEE
MUHAMAD OYEEEEE
YEHOVA OYEEEEE
 
Haahahaahahah waache waendelee kuishabikia CCM .......CCM OYEEEEEE
MAGUFULI OYEEEEEEEE
MAKONDA OYEEEEEEE
BASHIRU OYEEEEE
WAZIRI WA SHERIA OYEEEEE
YESU OYEEEEEEE
MUHAMAD OYEEEEE
YEHOVA OYEEEEE
As
Tanzania OYEEEEE
Africa OYEEEEEE
 
Siasa za Tanzania zinaendeshwa kimatukio na mihemko.....huu upepo utapita kama ulivyopita upepo wa Lowasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…