Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Hivi Membe amewahi kufanya nini cha maana nchi hii mpaka mumuhitaji.

Membe na Lowasa hawawezi kuja kuliongoza hili Taifa!!!!!nmemaliza
 
mimi sijui lini watu wamejioganaizi kiasi hiki!
niwe mkweli, simkubali Magufuli kwa baadhi ya mambo lkn Membe simkubali kabisa, ataendeleza makundi, uhasama na JK atarejea kwa sura ya Membe.
Sitaki turejee tulikotoka milele
Are you sure magufuli hana uhasama ?
 
Kwahiyo ukawa 2020 kiti cha uraisi hamkitaki ?
Kweli ukawa ni ki wonder kinasubiri uzinduzi tu
 
Ndo maana tunasema mzee atoke tu,kama unavosema membe na lowassa ni wezi na mafisadi wapo mtaani wanakula ugali na kushiba afu mtu mmoja kila akisimama anajigamba kuanzisha mahakama ya mafisadi
Membe hana tofauti na Lowassa kwa wizi/ufisadi…..hafai hata kidogo kuwa rais.
 
Mpuuzi kweli wewe, Nyie ndo mnatumia miguu kufikiri

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
ni baada ya kipigo au kipondo kisicho angalia huyu ni ccm au cdm
 
Kwahiyo ukawa 2020 kiti cha uraisi hamkitaki ?
Kweli ukawa ni ki wonder kinasubiri uzinduzi tu
Wakishauriwa wao kuhusu mwenyekiti wao wanang'aka ,leo wanaanzisha kampeni dhidi ya CCM. Safi sana mheshimiwa Rais umewagonga panapouma na pameuma hasa. Nyie badala ya kuhangaika na CCM ni bora mkatafuta mgombea atakayesimama na CCM ifikapo 2020. Go Magu Gooooo...
 
Membe ndio angeharibu zaidi....hii nchi ingekuwa kama Zimbabwe au Venezuela mkuu
...go for Magufuri over Membe mkuu
Mkuu una mahaba binafsi na Magufuli kiasi kwamba umeamua kuukwepa ukweli.
Sasa hivi ndo tunaelekea kuwa kama Zimbabwe chini ya Magufuli, thamani ya pesa inashuka kila siku na kuna inflation, Diplomasia ya Tanzania kimataifa haina hadhi tena,hebu fikiri Rais mzima anasema hawezi kwenda ulaya kwa Sababu ameishi sana huko,hivi huyo mtu utasema kuwa anaijua vizuri kweli nafasi nzito aliyonayo?..
Yaani serious kabisa mtu hajui nafasi yake,ndo maana alikuwa anataka Ku print pesa nje ya mfumo wa kiuchumi ,halafu mtu kama huyo ndo wa kufananisha na membe?
Nafasi ya urais haikumfaa kabisa john, si mtu smart hata kidogo

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…