Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Yawezeka wewe ndo ulizoea kuiba ila sisi tuliokuwa tuishi kwa juhudi zetu na halili mvua na jua letu. Mfano tu kwa mkulima wa mahindi auze debe shilingi 3000 kisa jamaa alifunga mipaka 2017 kisiasa.

Hivi kwanini waajiriwa mnahisi kila anaepitia wakati mgumu sasa alikuwa mwizi that's very cheap politics.
 
Membe ni mwana diplomasia hata Tundu Lissu angekaa nae meza moja wakayazubngumza
Angetafuta njia za kukabiliana na upinza si biashara ya nunua nunua rudia uchaguzi.
Hizi story za Membe sizielewi, mbona abrupt kama uyoga. What's behind this
 
Alifunga mipaka kisiasa..! aibu sana hii kwa mtu mwelevu kama wewe kuliona hili? nchi ngapi zinafunga mipaka yao kwasaabu za kujitosheleza ndani kwanza?
 
Wakuu samahani kwa kuwa outdated
Hivi Membe kafanya nini hasa?! Maana naona ghafla ana trend kila kona ya mtandao
Naomba msaada wa maelezo mafupi wa alichofanya au hata link nisome walau nipate mwanga

Usiulize Unga mkono tu, Membe 2020..
 
Mkuu unayoongea wewe ni maneno ya kawaida mno tena ni maneno ya kitoto.
Unaongea as if unaijua kesho,wewe unaweza kutuambia nini kitatokea 2020?
Kwa mtu mwenye hekima atakujibu kuwa hiyo ni siri ya Mungu,lakini wewe tayari unajua eti kwa Sababu tu Magufuli ana TISS,jeshi na vyombo vyote vya dola.
Tambua kuwa Magufuli siyo Mungu,na si TISS wote wanampenda,na ndani ya CCM pia hapendwi kabisa, amejaribu kujitengenezea mtandao wake ndani ya CCM, utambue kuwa hadi sasa hivi CCM iko vipandevipande kwa Sababu yake.
Kwa hiyo lolote linaweza kutokea 2020,hakuna ajuaye hiyo ni siri ya Mungu.
 
Kwani lowassa hakuwa na hao watu?
 
Hakuna Rais mswahili tena nchi hii milele. Bora mzoee kukomaa. Nchi ina raslimali kibao ila tunakuwa wa hovyo tunsshindwa na vi nchi kama Rwanda? Never again.
Hakuna maendeleo bila maumivu.
 
Ndugu Mleta maada inaonekana kabisa hujui historian ya nchi hii, na aliyekutuma naye hakukupa data. Kwa taarifa tu Tanzania kutoajili mwaka 1986 -1990 kulikuwa na Structural Adjustment Program (SAP) maelefu ya Watanzania walifutwa kazi na ajira zilisimamishwa kabisa Fact.

Membe aliogombea akashindwa therefore akae pembeni mpaka 2025. Amekuwa waziri kipindi chote cha KJ alifanyia nini Tanzania.
 
January makamba anaweza kuwa tishio kwenu ufipa kwa ccm makamba wakimuondoa chama ndio kinazidi kuimarika badala ya kunyong'onyea
 
Mikwara tu..Ghadafi na JK nani alikuwa na nguvu...Ghadafi kafia kwenye mtaro
Gaddafi hakupambana na mtu mmoja au wawili alishindana na mataifa makubwa wakiwemo wananchi wake
Sasa hii vita ya urais huoni ni nyepesi sana
 
Majanga haya. Leo vijana wa bavicha niwakumpigia debe mwana CCM tena kuwa raisi wa nchi hii kweli? Naapa nakukata tamaa ya kurudi kwenye chama cha upinzani.
Hii ni hatari sana
Nyie wenyewe mmewanunua mkawajaza huko Lumumba.. Unafikiri ukifuga kunguru anageuka kuwa kuku? Sasa wanacheza kote kote. Tulieni dawa iingie.. M4P!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…