Wakurugenzi wenyew hawampendiWakimpitisha tu membe mzee magu nae anamwaga mboga kwa kutumia wakurugenzi na polisi wake afu nchi ileee kwa upinzani. Kumbuka hata magu akikatwa kwenye kura za maoni ataendelea kuwa kitini kipindi cha uchaguzi mkuu hadi rais atakayechaguliwa aapishwe
Hawampendi! Mbona wanamgawia wabunge na madiwani kila uchaguzi mdogo ufanyikapo!Wakurugenzi wenyew hawampendi
Kwa sababu yupo tu akitoka na lake halipoHawampendi! Mbona wanamgawia wabunge na madiwani kila uchaguzi mdogo ufanyikapo!
Hata uchaguz mkuu utafanyika akiwepoKwa sababu yupo tu akitoka na lake halipo
Jk kaondoka boom ilikua 7500 na baada ya Jpm ni 8500.Unaweza kuja na bajeti ya mikopo elimu ya juu kipind cha jk na jpm?
Vijana Jazz OrchestraTumepata habari za yule mvuvi kinda
Aliyevamia kazi asiyoweza kuimudu
Ye ye ye ye alipofika bahari kina
Chombo kikapwelea mawimbi kikapotea
Bahari imechafuka
Wavuvi tujihadharini kwa usalama!
sisiemu itaondolewa vp, maana hata wakipata kura 0 bado wanatangazwa washindi... Inawezekana Membe ana hofu ya Mungu, angalau haki iwepo na kura ziheshimiwe... Ndo maana itikadi za vyama zimewekwa pembeni, wooooote wameungana kwa wimbo mmoja: M4PCcm iondolewe madarakani huu ndio mjadala tuache kujadili uppuzi, hakuns mwenye uwezo wa kumtikisa mwenyekiti wake katika ccm hakuna..
Ccm wana upendo.Kumbe una chuki...!!
Tunaangalia uhusiano wa kimataifa. Sio uhusiano wa kijijiWe don't need a popular or international president, we only need Tanzania president, And JPM is the President till 2025.
Hawana upendo, cdm ndio wanaupendo ndio maana hata Mbowe anasambaza upendo sana kwa viti maalumu wanawake.Ccm wana upendo.
that cant be a very strong criterion, why uhusiano wa kimataifa, ili Kuomba misaada kama JK?Tunaangalia uhusiano wa kimataifa. Sio uhusiano wa kijiji
Kafanye utafiti then urudi.Usiongee kitu usichokijua. Bajeti ya jk kwa mwaka ilikua kwenye billion 300+ kwa jpm ni 400+.Sijui ka hili unalijua. Ushawah sikia migomo chuo kikuu kama enzi hizo?Budget zao tukizichanganua hapa chini ndo utaelewa
7500 x 100 = 750,000
8500 x 20 = 170,000
nadhani umenielewa ninamaanisha nini
Uhusiano ulipo kati yako na jirani yako ni kuombana chumvi?that cant be a very strong criterion, why uhusiano wa kimataifa, ili Kuomba misaada kama JK?
Waziri wa Mambo ya Nje anaweza kuteuliwa kwa hiyo criteria. Not the President.