Leo hujaja na vitisho vyako eti unanifuatilia, Hahaa,Pale CHADEMA wanapokesha wanaiombea mazuri CCM, Membe atabaki kuwa raisi wenu wa mioyo, baada ya kugundua zile kelele zenu za Membe kuwa raisi 2020 haziwezekani umerudi kivingine?,endelea kuota.
They are already deadWhy Membe and not few others who contested in the 2015 general elections ?!
One of them is Membe, you are free to mention the rest.Why Membe and not few others who contested in the 2015 general elections ?!
They are already dead
One of them is Membe, you are free to mention the rest.
Kila mtu na maoni yake ulitaka nimtaje nani sasa kwa mfano.Kwani huyu membe kawapa nini? mi mbona namuona kama mtu wa kawaida tena miongoni mwa watu wachache waliosababisha tz iwe hapa tulipo, alikua anashinda hewani kwa kodi zetu, na nyienyie mlikua mnauponda uongozi wake na jk kwa ujumla kua kati mwaka siku nyingi kawa njee sana kuliko nyumbani, sasa hivi kawapa nini
best from a bundle of garbage.Hahahahahah it is a good one...
Choose the best....Dead???!! Who are these???!!! You mean physical or political death?? Because we still have many others who are live...Makamba, that lady who is now an ambassador and few others
Choose the best....
1. Bernard Membe
2. Balozi Mstaafu Agustine Mahiga,
3. Mizengo Pinda,
4. January Makamba,
5. Balozi Amina Said Alli,
6. Profesa Mark Mwandosya
7. Mama Samia Suluhu
8. Jaji Mstaafu Agustino Ramadhan,
9. Asha Rose Migiro.
10.Dk. Ali Mohamed Shein,
11.Dk. Hassy Kitine.
Roho ngumu kivipi hujui haya mawazo ni ya CCM yenyewe hata rais alisema hataki kuona mtu mmoja analundikiwa vyeo, mimi nakumbushia tu.Labda awe Mwenyekiti wa Chadema! Kuna watu mna roho ngumu
Mbowe ana kofia tatu ni mbunge,kiongozi wa upinzani bungeni Na mwenyekiti wa Chadema Taifa.Mwambie avue kofia ya uenyekiti abaki Na ubungeLeo hujaja na vitisho vyako eti unanifuatilia, Hahaa,
Tatizo la kofia mbili ndilo hilo huwezi kujua namshauri nani, mimi ni mwananchi niko huru kutoa ushauri kwa rais ambaye ni mkiti wa CCM.
sijui huyo membe wenu kawapa sh.ngapi?Kwa nini JIWE asitoke akaanzishe chama chake kama kweli yeye ni bora kama mnavyo mdanganya? Huu ndio wakati wake sasa wa kujinasibu ubora wake aache chama cha Nyerer akaanzishe cha kwake yeye si anajinasibu kuwa ni baada ya Nyerere? Hii ccm aachie kina Membe wasio na NGUVU.