minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Hujui katiba ya chama inasema mwenyekiti wa chama ndo mgombea urais? Na uchaguzi wa chama kuchagua mwenyekiti ni mpaka 2022 jiwe tunae mpaka 2025
Pengine labda membe kaongea na Mungu kamwambia kitu ndiyo maana anajiandaa 2020 lakini atambue kuwa Bashite yupo na timu yao watahakikisha Mtukufu anaendelea kuwepo mjengoni ili na wao wadumu kwenye vyeo vyao hasa ukizingatia kuwa mwaka 2020 Bashite atakuwa mbunge wa kuteuliwa kisha atazawadiwa Wizara ya mambo ya ndani au wizara ya Utawala bora ili apate fursa za kuwakomoa wote wanaompinga mtukufu.