amoneyazan
JF-Expert Member
- Jan 10, 2013
- 698
- 469
Ukijibiwa Ni tag mkuu
Sawa kiongozi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukijibiwa Ni tag mkuu
Kwani jiwe limwekwa glue? Wenye CCM yao hawamtaki.Sio lowassa tena. Au atagombea kipitia chdema?
Tune hoja na manunuzi ya wabunge na madiwani wanaounga mkono juhudi na Kurdish uchaguzi ili wawe wabunge na madiwani wa CCM
Kwaiyo hiki kiuzi mmekifungua kujifariji???Mpaka siku wapinzani watapopata akili kwamba kila tukio linakuja kwa kusudi maalumu ndio angalau wanaweza kucheza vizuri karata za siasa zao!
Nacheka sana ninapoona watu wamekumbwa na upepo huu wa sasa unaoendelea hapa mtandaoni eti kuna mtu awe rais alafu eti kirahisi tu hivi kama kunywa maji?
Niwaambieni wapinzani nyie hata muwekewe kujifunza kwa picha hamtakaa muelewe.
Ikiisha hii movie ya Membe jiandaeni na nyingine pia.
Ninadhani la Tundu Lissu lilivyobuma na la Mo pia vimemfedhehesha sana na Lissu anaongea bwana ukweli wote nje.🙄🙄🙄🙄 hili anajutaa kulifanya, ila kwakuwa anakiburi, ngoja aendelee kunyooshwa ... kamba lazima ikatikie njiani
Naona mmeamua kumtishia nyau mkulu 😂😂😂😂Membe rais wetu ajae
Umebadili gia tena humtaki Lowassa ?Membe rais wetu ajae
Kwani jiwe limwekwa glue? Wenye CCM yao hawamtaki.
Wewe ni CCM?Wewe sio mwana CCM
Wapo kazini haoHii sudden interest kwa Membe siielewi mpaka sasa.