Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Membe ni mwana diplomasia hata Tundu Lissu angekaa nae meza moja wajayazubngumza
Angetafuta njia za kukabiliana na upinza si biashara ya nunua nunua rudia uchaguzi.
Mtu anaetumia nguvu kutatua matatizo ni hatari sana.2020TWENDE NA MEMBE✔
Raisi wetu mpendwa kaza hapo hapo naona sasa maji wameanza kuyaita mma! Kaza baba kaza. Sisi wengine tunakupenda mno.Membe upepo unamwendea vizuri
Mpaka 5 inatosha
Watu wanaomshabia huyo Membe sijui kama wana nia nzuri na nchi hiiWakuu samahani kwa kuwa outdated
Hivi Membe kafanya nini hasa?! Maana naona ghafla ana trend kila kona ya mtandao
Naomba msaada wa maelezo mafupi wa alichofanya au hata link nisome walau nipate mwanga
Raisi wetu mpendwa kaza hapo hapo naona sasa maji wameanza kuyaita mma! Kaza baba kaza. Sisi wengine tunakupenda mno.