Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Naona kama mnajifurahisha, yaani naona kama Maigizo, watu na akili zenu mnakaa mnadanganyana Membe anaenda kuchukua nchi 2020.

Mimi na akili zangu za kuvukia barabara nauliza ATAPITIA NJIA GANI?

Ndani ya CCM , Mwenyekiti ndiye mgombea urais na ndiye mwenye sauti ya mwisho ,

Kupitia Upinzani ,ndio kabisa hawezi kushinda , Tuliona kwa LOWASSA,.
Labda kama ana hela za kuchezea,

Kupitia Uhaini, hapa atadakwa mapema sana..

NAWAULIZA NYIE MLIOKULA HELA ZAKE NA KUTUMWA MITANDAONI , MNAJUA ATAKUWA RAIS KWA NJIA GANI?

Mtuambie, sio mnasumbua mitandaoni lakini hamtuambii atapitia njia gani , ya golgotha au kaanani,

JIWE ameshajizatiti ana JESHI, TISS, UHAMIHAJI, POLIS , TUME YA UCHAGUZI,N.K

MEMBE ana nini? Au anataka kuliwa hela zake kama Lowassa?

Hata kama itabidi kupitia kwenye masaburi yako lazima kichaa afurushwe na jasusi Membe
 
Naona kama mnajifurahisha, yaani naona kama Maigizo, watu na akili zenu mnakaa mnadanganyana Membe anaenda kuchukua nchi 2020.

Mimi na akili zangu za kuvukia barabara nauliza ATAPITIA NJIA GANI?

Ndani ya CCM , Mwenyekiti ndiye mgombea urais na ndiye mwenye sauti ya mwisho ,

Kupitia Upinzani ,ndio kabisa hawezi kushinda , Tuliona kwa LOWASSA,.
Labda kama ana hela za kuchezea,

Kupitia Uhaini, hapa atadakwa mapema sana..

NAWAULIZA NYIE MLIOKULA HELA ZAKE NA KUTUMWA MITANDAONI , MNAJUA ATAKUWA RAIS KWA NJIA GANI?

Mtuambie, sio mnasumbua mitandaoni lakini hamtuambii atapitia njia gani , ya golgotha au kaanani,

JIWE ameshajizatiti ana JESHI, TISS, UHAMIHAJI, POLIS , TUME YA UCHAGUZI,N.K

MEMBE ana nini? Au anataka kuliwa hela zake kama Lowassa?

wanajidanganya kwa korosho zipande bei
 
Hahaha... Kama huyu mzee ni rais mzuri kama wengine wanavyosema basi kaongoza katika kipindi kibaya.

Malalmiko yana hoja ndani yake. Ila wakuu hajaribiwi muda wowote mtapotezwa.
 
Personally I didn't trust the Dude, sikumchagua,
But honestly anafanya kazi nzuri sana, kuliko marais wa awamu zote tatu waliopita,
Tunataka maendeleo sasa, siasa na ufala gani sijui not now.
Mkuu watanzania tumezoea kubembelezana, kupigwa! ao wote wanaoibuka ukiwaangalia ni wapigaji tu hakuna lingine! amefungiwa mirija yao ndiyo wanahaha.
Magufuli mpaka anatoka ataiyacha nchi mbali, Nina imani na hili kwa 200%.
 
Mambo ya kutekana tekana hatutaki kuyasikia tena
Uhai wa mtu mmoja una thamani sana kuliko kujenga reli toka Zanzibar hadi Marekani kupitia Tanganyika.
Mungu aliupenda ulimwengu, akawaumba Binadamu na kuwapa nchi waitawale na kula matunda yake.
Ingekuwa Reli ni Bora kupita uhai wa binadamu basi Mungu angetengeneza njia za Reli ya kuziunganisha nchi zote duniani
Lakini badala yake akamwumba Adamu na Hawa.
Mtu akikatika mguu mmoja na kubakia kilema, hata ukiyauza madini yote ya dunia hii huwezi kununua mguu mmoja wa mtu mmoja na kumrudishia.
Hata ukiamua kuiuza dunia yote huwezi kununua spea ya mkono wa mtu mmoja.
Ni vipi leo tunathamini vitu vya kutengenezwa na binadamu na kumdunisha binadamu mwenyewe aliyetengeneza hicho kitu ?
Tunamtaka Raisi ambaye.
Kipaumbele chake namba moja ni=

" Kumthamini Binadamu "

[emoji117] Nchi iliumbwa kwa ajiri ya mtu na sio mtu kwa ajiri ya nchi.
 
hawezi na ataweza hata yeye mwenyewe anajua ndoto zake ziliishia pale mwaka 2015 hawa vijana wanafikiri rais anachaguliwa mtandaoni ndio maana wameanza kumpamba na kumlia pesa zake hizo ni ndoto tena ndoto za alinacha
 
Magufuli hana haiba, mvuto na ushawishi. Yani hajui hata anachofanya ikulu. Hakuna lolote la maana amemfanyia mwananchi.
 
Baada ya Jana na Leo kufululiza thread za hiki kichwa adimu, aghalabu nyoyo za wadanganyika zimepata faraja, pengine faraja na neema tulizoziishi enzi za baba Ritz zinatarejea.
1. Mmefanana hulka
2. Umakini
3. Upole na kusikiliza maoni ya watu
4. Ubobezi wa kidiplomasia
5. Halafu wote mlianzia mambo ya nje
6. Marafaki wa mataifa
7. Very smart katika maamuzi
Twende na Membe 2020
Mnaojua utaratibu wa kupanga safu ya votes tusimame kuhakikishan Jembe letu hili tulipambanie ..
 
Naona kama mnajifurahisha, yaani naona kama Maigizo, watu na akili zenu mnakaa mnadanganyana Membe anaenda kuchukua nchi 2020.

Mimi na akili zangu za kuvukia barabara nauliza ATAPITIA NJIA GANI?

Ndani ya CCM , Mwenyekiti ndiye mgombea urais na ndiye mwenye sauti ya mwisho ,

Kupitia Upinzani ,ndio kabisa hawezi kushinda , Tuliona kwa LOWASSA,.
Labda kama ana hela za kuchezea,

Kupitia Uhaini, hapa atadakwa mapema sana..

NAWAULIZA NYIE MLIOKULA HELA ZAKE NA KUTUMWA MITANDAONI , MNAJUA ATAKUWA RAIS KWA NJIA GANI?

Mtuambie, sio mnasumbua mitandaoni lakini hamtuambii atapitia njia gani , ya golgotha au kaanani,

JIWE ameshajizatiti ana JESHI, TISS, UHAMIHAJI, POLIS , TUME YA UCHAGUZI,N.K

MEMBE ana nini? Au anataka kuliwa hela zake kama Lowassa?
Ana wananchi wenye machungu na kupoteza kazi zao, machungu ya kudhalilishwa, machungu ya kubomolewa nyumba zao, machungu ya kutukanwa vilaza, machungu ya kutoona local chanel, machungu ya kutoona bunge live, machungu ya kupigiwa shangazi zao, machungu ya gharama za maisha kuwa juu, machungu ya sukari kugoma kushuka bei. Huku mtaani wanamachungu sana. We acha tu mzee
 
Back
Top Bottom