kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,846
- 20,319
jiwe ni jiwe tuHahahahaha JPM 2020-2025 tenaaaaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jiwe ni jiwe tuHahahahaha JPM 2020-2025 tenaaaaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe na babu yako ndiyo mnafaa.Watu hamumjui membe nyie, Hafai hata chembe yule.
Siyo kwamba Mungu atakuwa ameleta kiongozi wake, hapana.Mungu atatuletea kiuongozi wake 2020
halafu kuna mijitu ya lumumba itakuja kumteteaHata mshikamo ktk taifa jiwe katugawa sana na kaleta chuki kuliko wakati wwote
sawa mzee wa lumumba🤣🤣🤣Hahaha mzee wa tehran
Hahahaa! Is that what you believe?! How old were you during Mkapa Administration?!Ni kweli hajawagusa wanasiasa wenzie wanao husishwa na ufisadi au ubadhirifu wa mali za umma. Lakini naona juhudi za kuzuia wasitokee wanasiasa wengine wengi watakao fanya ufisadi uliokufuru bila woga kama awamu zilizopita.
Angalau yeye ana anzia hapa ingawa siso tunapenda angelianzia na wa awamu zile kuwawajibisha kisheria.
Hakuna mtu anayesaidiwa na mtu chochote mana hakuna anayetoa pesa zake mfukoni kuendesha nchi.Ndugu zangu, huyu anayezungumzwa na kuandikwa kila chochoro, Hana jipya, wala hatakuwa na jipya.
Kukaa na kupoteza rasimali muda, huku ukimpigia "Promo za Kipuuzi" mtu ambaye hatakusaidia kwa lolote, huo nao ni upuuzi.
Ndugu zangu, huu ni Msimu wa "Maembe" Fanyeni biashara ya "Maembe"
Huyo "Membe" hatatusaidia chochote.
Sana sana atatuletea "Mende"
Asanteni, Ngoja nimpikie mume wangu kipenzi chakula cha lala salama.
Sasa wewe ambaye bakuli lako limefungwa unajua nini kwenye siasa?bado hujajua chochote kwenye siasa funga hilo bakuli lako
Duh, yaani wanaahidi kula naye bata? Aisee kazi kweli kweli....Wanaahidi kula naye bata...
Watu hamumjui membe nyie, Hafai hata chembe yule.