Webb
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 425
- 883
Mkuu usiogope kibarua chako kama ni halali basi utaendelea nacho.Waambie maana wanafikia hatua ya kutufanya wote tuonekane vilaza kama wao. Yaani mtu anaibuka tu na kusema membe anakuwa rais wa nchi hii 2020? Watanzania wengi ni vilaza.hawajui hata urais una hatua gani.mwenye hata elimu ya siasa ya uraia ya darasa la 5 atafaham ni ndoto membe kuwa rais 2020.
But 2020 tunaenda na MEMBE