Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Waambie maana wanafikia hatua ya kutufanya wote tuonekane vilaza kama wao. Yaani mtu anaibuka tu na kusema membe anakuwa rais wa nchi hii 2020? Watanzania wengi ni vilaza.hawajui hata urais una hatua gani.mwenye hata elimu ya siasa ya uraia ya darasa la 5 atafaham ni ndoto membe kuwa rais 2020.
Mkuu usiogope kibarua chako kama ni halali basi utaendelea nacho.

But 2020 tunaenda na MEMBE
 
Hii hali ya uchumi inafanya watu wawe machizi.maana mleta uzi hajitambui na wachangiaji wengi hawajitambui.kumuondoa rais yeyote madarakani munaota kama vile kwenda chooni kunya tu? Endeleeni kupiga kerere sisi wengine watazamaji! Mtu hata jimbo la mtama hajui lipo mkoa gani! Alafu analeta stori za vijiweni sehemu kama hii!
Punguza hasira wanaccm tutampiga chini magufuli hatufai, 2020 twende na membe
 
Waambie maana wanafikia hatua ya kutufanya wote tuonekane vilaza kama wao. Yaani mtu anaibuka tu na kusema membe anakuwa rais wa nchi hii 2020? Watanzania wengi ni vilaza.hawajui hata urais una hatua gani.mwenye hata elimu ya siasa ya uraia ya darasa la 5 atafaham ni ndoto membe kuwa rais 2020.
Dogo tuliza tigo hiyo 2020 twende na membe
 
😂😂😂 nmetoa ushauri mfanyeni awe rais wa familia zenu. Urais wa tanzania asahau.siku akiwa rais mimi nahama nchi hii nahamia sudan kusini.

HE WILL NEVER BE A PRESIDENT OF TANZANIA MPAKA KIAMA. MARK MY WORDS. ccm wanawachezesha ngoma wapinzani nao wanacheza.wanashindwa tafuta mtu makini wa kuwafaa 2020 wanafuata na membe sijui wapi ambaye ni mwana ccm.wakija kushtuka muda umeenda ni wakati wa kampeni
Tangu lini mpinzani akishinda anatangazwa nchi hii,
 
Hii ni mipango ya aliyeko madarakani, kumharibia kila mtu na kumpa yeye uhalali wa kipindi cha pili.
 
Nyie makamanda nyie, mko desperate sana nyie.

Eti mnamtaka Membe ndo awe rais 2020.

Rais John Pombe Joseph ‘Jiwe’ Magufuli ni bora mara 100 kuliko huyo Membe wenu.

Acheni masikhara bana. Membe ni bomu kabisa. Bomu kushinda hata Magufuli.

Kuna mtu, ni Rutashubanyuma nadhani, aliwahi kusema Membe ana ‘limited brain power’.

Hiyo ni kweli kabisa. Afadhali hata Magu yeye tunajua na yeye mwenyewe anajua kuwa hajui Kiingereza.

Lakini huyo Membe wenu, awe anaongea Kiingereza chake cha pre-school au hata Kiswahili chake, anaboa kupita maelezo halafu ni kama analazimisha aonekane ana akili nyiiiiingi wakati hana lolote.

To hell na huyo Membe wenu.
 
Kwani Mke akiwa mzuri kwako lazima awe mzuri kwa wengine.
Kwani huyo ana uzuri gani?
Na bado mtaanza kuzurura kama machizi kwa frustration.
 
Back
Top Bottom