Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Kwa heshima na taadhima napenda kuwakilisha mawazo yangu juu ya huu mjadala unaoendelea kati ya wanaotamani membe awe mgombea 2020 na wale wasiotaka kusikia hata kidogo kuhusu wazo hilo.nchi yetu tangu tupate uhuru imetawaliwa na Chama kimoja na Chama hicho kimejiwekea utaratibu wa kuheshimu mazoea ambayo hayapo katika katiba yao lakini imekuwa kama sheria.Jambo la kwanza ni kuhusu dini ya mgombea hakuna katiba yoyote inayozungumzia kuhusu wagombea kupokezana kutokana na dini lakini kama utafuatilia vizuri utagundua kuwa Rais wa kwanza alikuwa mkristo tena mkatoliki,Rais wa awamu ya pili alikuwa mwislam,Rais wa awamu ya tatu alikuwa mkristo tena mkatoliki,Rais wa awamu ya nne alikuwa mwislam,sasa tuna Rais wa awamu ya tano ni mkristo tena mkatoliki,kwa mtiririko huo inaonyesha wazi kuwa kwa utaratibu huo uliojengeka si raisi kuwa na Rais wa awamu inayofuata mkristo.kwa vyovyote vile anatakiwa awe mwislam hapo 2025. Kutokana na hali hiyo ni vigumu sana kwa membe kuwa Rais baada ya Rais wa sasa kumaliza kipindi chake hapo 2025.
Jambo lingine ambalo halipo kwenye katiba ya Chama tawala lakini imekuwa ni mazoea ni kwamba Rais aliyemadarakani amekuwa akipewa nafasi ya kuwa mgombea wa Chama hicho ili kujihakikishia ushindi bila matatizo maana ni vigumu sana kwa Rais aliye madarakani kuondolewa au kushindwa kwa sababu hiyo ni Afadhali awe mgombea kuliko kuwa na mtu mwingine ambaye Chama hakina uhakika kama atashinda kwa sababu hiyo sioni namna ambayo ccm wanaweza kumwacha Magufuli na kumweka membe.ila wakiamua kukiua Chama Chao na kukiondoa madarakani basi wanaweza kufanya jaribio hilo la hatari sana kwao.wengi wa wanaounga mkono wazo la kuwa na membe 2020 ni wapinzani wa ccm ambao wanajua Fika kuwa ccm wakifanya uamuzi huo watakuwa wamejimaliza na kuondoka madarakani.
CCM sio wajinga kiasi cha kuamua kufanya uamuzi wa kijinga unaowaweka katika hatari ya kuondoka madarakani.Lakini vile vile wale wanaompigia debe Membe wamekosea sana maana wamemmaliza membe na napenda kuwahakikishia bila kuficha membe hatakuwa na wala haitatokea kuwa Rais kupitia ccm kwa sababu tayari amejengewa uadui mkubwa na watawala ambao ndio walikuwa na nafasi ya kumjenga.
Kwa sababu hiyo wale wote wanaopiga kelele kuhusu membe wanammaliza kisiasa kimya kimya lakini kwa hakika.
 
bado hujaeleza kwanini membe hafai unesema tu ni bomu sababu?

Kwa watanzania wanaomtaka membe Kwa itaratibu uliopo wa chama na wazee kuwa na nguvu ya kupendekeza na kupitisha nani awe raisi chini ya katiba hii, Mtasubiri sana Membe kuwa raisi. Ukweli usemwe hata kama ni mchungu.

Itashangaza kuona magufuli akikauka koo majukwaani kujinadi ilhali alisema huko ikuluni alisukumizwa tu nakazi ya uraisi ni ngumu!
Mkuu achana na huyo zero lenyewe kila siku limekalia usa bby tu humu, litajua shida za tanzania saa ngapi?
 
ECD80087-8964-4E87-B837-D504DEF43C52.jpeg
 
Siasa za Tanzania bhana

Wapinzani wanampigia kampeni mgombea wa chama tawala
Sio Membe tu, hata kangekuja katoto kadogo kapewe tu, hii inaonyesha watu kuchoka na haina maana nyingine, awamu hii ni ngumu kwa sababu ina visasi, kutojali watumishi, kudharirisha wale wanaoonyesha kukosoa, kujipendekeza kwa kiwangocha juu, double standards kibao, matumizi mabovu ya vyombo vya usalama, mahakama nk huku wengine wakiwa kama vile wamehodhi chama na serikali!!!!!
 
Watetea maslai yao wanufaika wapambe utawajua tu,
Makamanda wana bore sana na hawajiamini. Yaani wanataka Kiazi na Kilaza kama membe awe rais wa Tanzania? Wanataka na makamba awe rais.... Jamaa wapo so desperate na stressful.

Membe hana akili nashangaa wanaolazimisha kudai ni jasusu mbobezi. Sijui kabobea kwenye nin ikiwa hata ukimsikiliza tu unamwona ni kilaza. Kwa style hii naona bora magufuli aendelee kuwa rais kuliko kumfikiria mtu bomu kama membe.
 
Kwa heshima na taadhima napenda kuwakilisha mawazo yangu juu ya huu mjadala unaoendelea kati ya wanaotamani membe awe mgombea 2020 na wale wasiotaka kusikia hata kidogo kuhusu wazo hilo.nchi yetu tangu tupate uhuru imetawaliwa na Chama kimoja na Chama hicho kimejiwekea utaratibu wa kuheshimu mazoea ambayo hayapo katika katiba yao lakini imekuwa kama sheria.Jambo la kwanza ni kuhusu dini ya mgombea hakuna katiba yoyote inayozungumzia kuhusu wagombea kupokezana kutokana na dini lakini kama utafuatilia vizuri utagundua kuwa Rais wa kwanza alikuwa mkristo tena mkatoliki,Rais wa awamu ya pili alikuwa mwislam,Rais wa awamu ya tatu alikuwa mkristo tena mkatoliki,Rais wa awamu ya nne alikuwa mwislam,sasa tuna Rais wa awamu ya tano ni mkristo tena mkatoliki,kwa mtiririko huo inaonyesha wazi kuwa kwa utaratibu huo uliojengeka si raisi kuwa na Rais wa awamu inayofuata mkristo.kwa vyovyote vile anatakiwa awe mwislam hapo 2025. Kutokana na hali hiyo ni vigumu sana kwa membe kuwa Rais baada ya Rais wa sasa kumaliza kipindi chake hapo 2025.
Jambo lingine ambalo halipo kwenye katiba ya Chama tawala lakini imekuwa ni mazoea ni kwamba Rais aliyemadarakani amekuwa akipewa nafasi ya kuwa mgombea wa Chama hicho ili kujihakikishia ushindi bila matatizo maana ni vigumu sana kwa Rais aliye madarakani kuondolewa au kushindwa kwa sababu hiyo ni Afadhali awe mgombea kuliko kuwa na mtu mwingine ambaye Chama hakina uhakika kama atashinda kwa sababu hiyo sioni namna ambayo ccm wanaweza kumwacha Magufuli na kumweka membe.ila wakiamua kukiua Chama Chao na kukiondoa madarakani basi wanaweza kufanya jaribio hilo la hatari sana kwao.wengi wa wanaounga mkono wazo la kuwa na membe 2020 ni wapinzani wa ccm ambao wanajua Fika kuwa ccm wakifanya uamuzi huo watakuwa wamejimaliza na kuondoka madarakani.
CCM sio wajinga kiasi cha kuamua kufanya uamuzi wa kijinga unaowaweka katika hatari ya kuondoka madarakani.Lakini vile vile wale wanaompigia debe Membe wamekosea sana maana wamemmaliza membe na napenda kuwahakikishia bila kuficha membe hatakuwa na wala haitatokea kuwa Rais kupitia ccm kwa sababu tayari amejengewa uadui mkubwa na watawala ambao ndio walikuwa na nafasi ya kumjenga.
Kwa sababu hiyo wale wote wanaopiga kelele kuhusu membe wanammaliza kisiasa kimya kimya lakini kwa hakika.

MANENO kuntu
 
Sina hakika kama Hao Marais waislamu walikuwa ni suni au shia
 
Sio Membe tu, hata kangekuja katoto kadogo kapewe tu, hii inaonyesha watu kuchoka na haina maana nyingine, awamu hii ni ngumu kwa sababu ina visasi, kutojali watumishi, kudharirisha wale wanaoonyesha kukosoa, kujipendekeza kwa kiwangocha juu, double standards kibao, matumizi mabovu ya vyombo vya usalama, mahakama nk huku wengine wakiwa kama vile wamehodhi chama na serikali!!!!!

Ondoa uwongo wako hapa wewe jizee lisilo na hekima, Lowasa mlimpataje?
Jf hii sio fb
 
Membe alipiga first class chuo kikuu, ana akili nyingi sana ndiyo maana kazi yake alipokuwa kitengo ni ya kupigiwa mfano, na ndiyo maana alipokuwa Waziri mwenye dhamana ya diplomasia, Nchi yetu ilishine sana!
#Twende na Membe 2020
 
Siku zote wewe ni mjinga mjinga uliyejificha marekani na wala hujui shida zinazotupata hapa nchini mmejificha huko gizani kazi yenu ni kutupa mawe gizani tu wala hamna msaada wowote, hali kwa sasa ni mbaya nyongeza ya mishahara hakuna, ajira hakuna, biashara zinakufa alafu unamtetea huyo jamaa yako eti ni bora?

Mara kumi membe hali ya maisha ingekuwa nafuu maana ni mstaharabu na mwanadiplomasia anayepokea ushauri, jiwe linatumia pesa hovyo na ndio fisadi kuu, kitendo cha kuchota pesa hazina na kwenda kununua vitu vizito bila kuidhinishwa na bunge ndio tunaouita ufisadi, jiwe anatakiwa kuwa jela

D76D4850-BB6B-4685-AE0D-6C748608CADE.jpeg
 
Aliepo sasa hivi ameshachokwa na ni miaka mitatu tu watu waoo radhi wachague tofali au kokoto kuliko huyu mhutu
 
Membe alipiga first class chuo kikuu, ana akili nyingi sana ndiyo maana kazi yake alipokuwa kitengo ni ya kupigiwa mfano, na ndiyo maana alipokuwa Waziri mwenye dhamana ya diplomasia, Nchi yetu ilishine sana!
#Twende na Membe 2020

Festi klasi ya nini?
 
Naona umesha likoka asubuhi
ila dada unahaha kama ngolo kante,inabidi wakuongezeee posho maana wewe ni zaidi ya INZI WENZAKO WA KIJANI...kazi na bata tunahitaji RAIS mwingine 2020 hata kama atakuwa DUDUBAYA KONKI,tumechoka maujinga yenu ya kolomije
 
Back
Top Bottom