Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Mh..
Marufuku kuandika kisukuma JF!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tuache bwana kwani tumekukosea Nini? Kumbuka mlisema sie ndio tunaounga mkono ngosha stone huyu katuwakilisha baadhi.
 
1. Mbowe kwa shauri alilonalo angekuwa mahakamani na JELA !?

2. Tungeshuhudia kesi na vifungo viongozi upinzani Kwa kiasi Hili?

3. Thamani ya Dola ya marekani ingefikia Kiwango hiki cha leo!?


4. Ustawi na umoja wa taifa letu ungemomonyoka kwa kiwango hiki !?

5. Mahusiano na maelekezo mihimili ya 3 Pangekuwa Hivi!?

6. Tungeshuhudia Wabunge na madiwani kuunga juhudi kwa na ya ki pekee Hivi!?

7. Mahusiano kati ya serikali na wafanyabiashara sector binafsi yangefikia hatua hii!?

8. Watumishi maslahi na stahiki zao zingefikia hatua hii!?

9.Wawekezaji wa ndani na nje mahusiano yangefika hatua hii!?

10. Mahusiano kati ya nchi yetu yangeimarika kwa kiasi gani!?

11.Tungejenga reli,Bwawa la umeme na kununua ndege kwa mfumo huu!?

12. Tungeshuhudia hotuba za kibabe, Kiburi na zinazokatisha tamaa!?
Unijitekenya eti! Dawa bado na mtanyoka tu.
 
Back
Top Bottom