Urais 2025 kwa tiketi ya CCM ni mtifuano hasa

Bashungwa for presidency 2025
 
Ni hivi mnajadili CCM 2025, lakini ukweli ni kua wabongo wamechoka sana na hili li chama na wako tayari sasa hivi kuupa upinzani nchi.
Wapinzani wajipange tu 2025 wanaichukua nchi kirahisi sana,hatuwezi kuongozwa na mzanzibar wakati bongo ina watu milioni 60 na uchafu. kwanza nchi imeshamshinda huyu mama ni gender tu inayomlinda kwa sasa na genge la Msoga. 2025 nchi ni ya wapinzani hii.
 
Nimesema kwa tiketi ya CCM kwa maana ya kwamba kuna washindani wengine nje ya CCM ambao wanaweza kuuutumia huu udhaifu kwa manufaa makubwa

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Wapinzani wep mkuu,unawazungumzia!
 
Mama hauziki mtaani labda kama wanataka ccm ife.
 
Ilikua either Samia, Asha rose au Mary Nagu….2015

Trust me Samia is there until the mission accomplished!!
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]So Lusungo that rip was a planned one??[emoji848][emoji2827][emoji3064]

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Nimekuelewa sana mkuu.
Ila kuna kundi la February, linafanya kazi behind the scene na lina nguvu kubwa sana.
Yetu macho
Ni Mara mia ya huyu mama kuliko February, Ila hakuna namna kwa kuwa huyu mama ni dhaifu Sana
Natamani sana huyu mama atoke, Ila shida ni Hilo kundi litalokuja
 
Merry Nagu??????
 
Wajuvi wanasema mzee anamuandaa mtoto wake, huyu mama washajua ni dhaifu hivyo wanamuendesha tu. Wanasema hakuna chochote anachojua
 
Hapa kikubwa ni kupambania katiba mpya tuuu

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Waache wahangaike bure. Urais wa tanzania hautafutwi mtu anapewa na wananchi. Kama hawaamini wamuulize lowassa. Saa hizi tunajua nani tunampa. Mwenyewe saa hizi halali anachapa kazi kuwatumikia umma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…