Urais 2025 kwa tiketi ya CCM ni mtifuano hasa

Urais 2025 kwa tiketi ya CCM ni mtifuano hasa

1).Hao wanaotengeza fedha nyingi kutokana na biashara halali na zinazotambulika na jamii (siyo biashara za magendo au utakatishaji wa fedha) walipe kodi stahiki,
2).Kama Katiba mpya itakuwa bado kukamilika,Basi serikali ifanyie marekebisho ya Katiba 1977 waweke kipengele kinacholazimisha wagombea wote kutoa taarifa za mapato na matumizi yao pamoja na ulipaji kodi.

Ushauri kwa Mamlaka ya uteuzi:
a).Fisi haachiwi bucha,watu wenye malengo ya kuwania Urais 2025 ukiwaachia hazina,misaada yetu na kodi zipo hatarini.
b).Watu ambao wameanza ,kujipanga kuwania Urais 2025 wadhibitiwe,wasije leta mpasuko, tujifunze kutoka kwa nchi jirani inayofanya uchaguzi mwaka 2022.
 
b).Watu ambao wameanza ,kujipanga kuwania Urais 2025 wadhibitiwe,wasije leta mpasuko, tujifunze kutoka kwa nchi jirani inayofanya uchaguzi mwaka 2022.[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Nafikiri jambo muhimu kwako la kuwaza ni nani atagombea urais kwa chama chenu mfu, Gwajima? Bashite? You guys mmepoteana vibaya mnoo
giphy.gif

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
Mama atagombea, fomu moja tu itatoka, huko kwenu?
 
Samia hatakua na mpinzani ndani ya chama 2025 mark my words….

Mchezo wa Samia kukaa hapo alipo ulisukwa kwa ustadi mkubwa sana…

Ilikua either Samia, Asha rose au Mary Nagu….2015

Trust me Samia is there until the mission accomplished!!

Hii nchi Boys2men wanazichezea siasa zake kwa akili ya juu sana!
Usiwe mwongo 2015 alikuwa Dr Lowasa hao wengine wote ilikuwa okoteza or funiko kombe mwanaharamu apite, haramu akapita kilichobakia sili yenu si Ccm yenyewe au nchi kwa ujumla na serikali yake
 
mshana ni kweli wa nawaza watanzania wa naamini katika udaktari(PhD zao uchwara hizo basi Ccm itakuwa kiboko ibadilike kua sera
 
Because.....
with no the following these ventilators, no chama cha mapinduzi against

Ventilator - polisi tanzani
Ventilator - katiba ya sasa
Ventilator - tume ya sasa

Ccm was dead since 14/10/1999 that ventilators are companing this burudoza part

SAMAHANI KWA LUGHA YA KIGENI
 
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
 
Ventilator - polisi tanzani
Ventilator - katiba ya sasa
Ventilator - tume ya sasa
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
ndio bila hii mitungo ya gesi Ccm isingeamka muda huu iwe madarakani wapi na wapi

Sisi tunaoshinda kitaaa tu naona ndomana umeonesha ukweli kwamba kuna watu wanatafta pesa za kampeni

Zann akati uchaguzi ni kazi ya chama kupitia ilani yake mgombea unatembezwa na chama hujitembezi

ndo hapo tunavosema the dead working party, haijakosew
 
Yaani wewe ni pumbafu la mapumbafu kasome mabadiliko ya katiba ya CCM yaliyopitishwa na JPM na katibu wake mkuu Bashiru katika mkutanio mkuu MAALUNU wa CCM kipindi kile kuwadhibiti akina Membe wasichukue form uchaguzi mkuu uliopita.
Asante kwa matusi..lakini hakuna kitu kama hicho usilazimishe..kama ni kweli weka hapa...hakuna kikao cochote cha chama kilichobadili katiba ya chama!....
 
Back
Top Bottom