Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #141
Ni yupi huyo?Nadhani alitaka kusema Amina yule Mzenj
Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni yupi huyo?Nadhani alitaka kusema Amina yule Mzenj
Ana nguvu sana, si unaona WM alivyotulizwa halipohoji kibubu kwa mikwara?....kwahiyo sasa ni mwendo wa chukua chako mapemaaa
Ushauri kwa Mamlaka ya uteuzi:1).Hao wanaotengeza fedha nyingi kutokana na biashara halali na zinazotambulika na jamii (siyo biashara za magendo au utakatishaji wa fedha) walipe kodi stahiki,
2).Kama Katiba mpya itakuwa bado kukamilika,Basi serikali ifanyie marekebisho ya Katiba 1977 waweke kipengele kinacholazimisha wagombea wote kutoa taarifa za mapato na matumizi yao pamoja na ulipaji kodi.
Ushauri kwa Mamlaka ya uteuzi:
a).Fisi haachiwi bucha,watu wenye malengo ya kuwania Urais 2025 ukiwaachia hazina,misaada yetu na kodi zipo hatarini.
b).Watu ambao wameanza ,kujipanga kuwania Urais 2025 wadhibitiwe,wasije leta mpasuko, tujifunze kutoka kwa nchi jirani inayofanya uchaguzi mwaka 2022.
Mama atagombea, fomu moja tu itatoka, huko kwenu?Nafikiri jambo muhimu kwako la kuwaza ni nani atagombea urais kwa chama chenu mfu, Gwajima? Bashite? You guys mmepoteana vibaya mnoo![]()
Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
Usiwe mwongo 2015 alikuwa Dr Lowasa hao wengine wote ilikuwa okoteza or funiko kombe mwanaharamu apite, haramu akapita kilichobakia sili yenu si Ccm yenyewe au nchi kwa ujumla na serikali yakeSamia hatakua na mpinzani ndani ya chama 2025 mark my words….
Mchezo wa Samia kukaa hapo alipo ulisukwa kwa ustadi mkubwa sana…
Ilikua either Samia, Asha rose au Mary Nagu….2015
Trust me Samia is there until the mission accomplished!!
Hii nchi Boys2men wanazichezea siasa zake kwa akili ya juu sana!
Please be careful with the choice of your wordsdeadly body
WhyPlease be careful with the choice of your words
Because.....
with no the following these ventilators, no chama cha mapinduzi againstBecause.....
Ventilator - polisi tanzaniwith no the following these ventilators, no chama cha mapinduzi against
Ventilator - polisi tanzani
Ventilator - katiba ya sasa
Ventilator - tume ya sasa
Ccm was dead since 14/10/1999 that ventilators are companing this burudoza part
SAMAHANI KWA LUGHA YA KIGENI
ndio bila hii mitungo ya gesi Ccm isingeamka muda huu iwe madarakani wapi na wapiVentilator - polisi tanzani
Ventilator - katiba ya sasa
Ventilator - tume ya sasa
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
Hahaha fomu noja kwa GwajimaHaya...! Huku kwetuView attachment 1912361
Asante kwa matusi..lakini hakuna kitu kama hicho usilazimishe..kama ni kweli weka hapa...hakuna kikao cochote cha chama kilichobadili katiba ya chama!....Yaani wewe ni pumbafu la mapumbafu kasome mabadiliko ya katiba ya CCM yaliyopitishwa na JPM na katibu wake mkuu Bashiru katika mkutanio mkuu MAALUNU wa CCM kipindi kile kuwadhibiti akina Membe wasichukue form uchaguzi mkuu uliopita.