Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 7,748
- 10,288
Akili mkichwa ni 0.Membe ndiye mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM mwaka huu
Akili mkichwa ni 0.Membe ndiye mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM mwaka huu
Baadae ya kuwa same mfukuza membe ndo mchakato unaanza ? Wangeli mwacha membe kwanxa
Angalia post ya kwanza, nilishawekaMtoa mada atakuwa kachanganya na urais Wa Zanzibar.sio kweli.aweke ushahidi hapa
Atakae jaribu kuchukua form atakiona cha moto!View attachment 1476293
Ratiba ya mchakato wa kumpata wagombea wa CCM wa Urais Tanzania inaanza June 15,2020 hadi June 30,2020 ambapo Watu watachukua na kurejesha fomu kisha baada ya hapo vikao vya uchujaji vitaanza.
July 09, 2020 kitaketi kikao cha Kamati Kuu ya Halmshauri Kuu ya Taifa ya CCM ambayo itatoa mapendekezo kwa Halmashauri Kuu ya Taifa juu ya majina ya wanachama waisozidi watano wanaoomba kugombea kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
July 10, 2020 kitaketi kikao cha Halmshauri Kuu ya Taifa ya Chama chetu ambacho kitakuwa na kazi ya kupendekeza kwa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa, majina yasiyozidi matatu ya wanaoomba dhamana ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
July 11 hadi July 12 ,2020 utaketi Mkutano Mkuu wa CCM Taifa ambao utakuwa na kazi ya kuchagua jina moja la Mwanachama atakayesimama katika uchaguzi wa Urais kwa tiketi ya CCM.
Hawakuwa na sifa znuriCCM ndio chama kikongwe Tanzania kilichosheheni watu wa sifa zote ( nzuri na mbaya).
Mwaka 2015 wanachama wengi mapema walitangaza nia yao kugombea Urais wa JMT na walichukua form kutoka kwenye chama chao.
Vipi mbona kimya huko, au mnakubali kuwa 2015 mulichukua form kimakosa na ya kwamba hamkuwa na sifa za kuwa na vyeo mlivyoomba?.
Huu ukimya wa memba wa ccm juu ya kuwatia Urais maana yake nini?.
Athubutu mtu kutoa MAPUA YA MAKAMASI eti anataka Urais!CCM ndio chama kikongwe Tanzania kilichosheheni watu wa sifa zote ( nzuri na mbaya).
Mwaka 2015 wanachama wengi mapema walitangaza nia yao kugombea Urais wa JMT na walichukua form kutoka kwenye chama chao.
Vipi mbona kimya huko, au mnakubali kuwa 2015 mulichukua form kimakosa na ya kwamba hamkuwa na sifa za kuwa na vyeo mlivyoomba?.
Huu ukimya wa memba wa ccm juu ya kuwatia Urais maana yake nini?.
Membe we!CCM ndio chama kikongwe Tanzania kilichosheheni watu wa sifa zote ( nzuri na mbaya).