Kama Mgombea Urais wa Chadema wa 2015 na wa 2010 wote wanamuunga Mkono JPM sie tunaanzia wapi kubisha?
CCM ndio chama kikongwe Tanzania kilichosheheni watu wa sifa zote ( nzuri na mbaya).
Mwaka 2015 wanachama wengi mapema walitangaza nia yao kugombea Urais wa JMT na walichukua form kutoka kwenye chama chao.
Vipi mbona kimya huko, au mnakubali kuwa 2015 mulichukua form kimakosa na ya kwamba hamkuwa na sifa za kuwa na vyeo mlivyoomba?.
Huu ukimya wa memba wa ccm juu ya kuwatia Urais maana yake nini?.