Urais CCM: Mchakato wa wagombea Urais ndani ya chama kuanza Juni 15- Juni 30

Atakae jaribu kuchukua form atakiona cha moto!
 
Yaani Mwenyekiti wa Kamati Kuu ni JPM,Mwenyekiti wa Halmashauri Kuu ni JPM,Mwenyekiti wa Mkutano Mkuu ni JPM! Na huyo huyo ndiye mgombea mtarajiwa ?
Kama sielewi vibaya huo ni Usanii!!
 
CCM ndio chama kikongwe Tanzania kilichosheheni watu wa sifa zote ( nzuri na mbaya).

Mwaka 2015 wanachama wengi mapema walitangaza nia yao kugombea Urais wa JMT na walichukua form kutoka kwenye chama chao.

Vipi mbona kimya huko, au mnakubali kuwa 2015 mulichukua form kimakosa na ya kwamba hamkuwa na sifa za kuwa na vyeo mlivyoomba?.
Huu ukimya wa memba wa ccm juu ya kuwatia Urais maana yake nini?.
 
Hawakuwa na sifa znuri
 
Athubutu mtu kutoa MAPUA YA MAKAMASI eti anataka Urais!
 
Membe we!
 
Watu wanamuogopa Babu Magufuli kuwa atawamaliza kiuchumi na kimwili kupitia unknown people
 
Bado 'wanabatizwa kwa moto' by Makamba Sr.
 
HIYO NAFASI NI YA IPO KWA MMOJA TU ATAKAE JARIBU 2016+ ATASOTA JUANI
 
Pamoja na mapungufu ya ccm hili LA kuiga toka chadema na kufuata katiba yake, kuruhusu wanachama wake kumpinga ndani magu nawapongeza.Japo wameruhusu hili baada ya membe kufukuzwa.wanaccm Ni muda Wa kukichangia chama chenu kuchukua fomu kama walivyofanya wale Wa Mwaka 2015.
 
Ukisikiliza haka kanyimbo ni tiba tosha ya mawazo ya urais.





 
Naona wamejisahihisha, ccm walikuwa wanavunja katiba kuzuia mgombea urais asipingwe ndani ya chama.Ingawa wasiwasi wangu watu hawatajitokeza kumpinga magu, wangezuga tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…