CCM ndio chama kikongwe Tanzania kilichosheheni watu wa sifa zote ( nzuri na mbaya).
Mwaka 2015 wanachama wengi mapema walitangaza nia yao kugombea Urais wa JMT na walichukua form kutoka kwenye chama chao.
Vipi mbona kimya huko, au mnakubali kuwa 2015 mulichukua form kimakosa na ya kwamba hamkuwa na sifa za kuwa na vyeo mlivyoomba?.
Huu ukimya wa memba wa ccm juu ya kuwatia Urais maana yake nini?.
Asante Mkuu, nishaona.wameiga toka chadema.Nimeamini chadema wanaongoza, ccm wanatawala.Angalia post ya kwanza, nilishaweka
Mkuu walikuwa wagombea, jpm apingwe hats kwa kukichangia tu chama kupitia fomu.Jpm awatie moyo wanaccm kugombea, atawashinda tu kwenye mkutano Mkuu.Raha ya ushindi ushindane.Kama Mgombea Urais wa Chadema wa 2015 na wa 2010 wote wanamuunga Mkono JPM sie tunaanzia wapi kubisha?
Wakati mwingine wanachonifurahisha ccm Ni uwezo wao kujisahihisha.hili wameiga toka chadema.Nikumbushe wana CCM waliochkua form ya urais 2010.
hahahahahaaaaaUnajiibia kulia unaficha kushoto
Angalau kwa Mara ya kwanza wamefuata katiba ya chama chaoWatawekwa wapinzani feki wa Jiwe ndani ya chama kuhadaa umma, Kama kweli demokrasia ipo wapitishe Jina la Membe mpaka mkutano mkuu tuone.
Wanajua rais yupo hawataki maigizo kama yale ya upande wa piliCCM ndio chama kikongwe Tanzania kilichosheheni watu wa sifa zote ( nzuri na mbaya).
Mwaka 2015 wanachama wengi mapema walitangaza nia yao kugombea Urais wa JMT na walichukua form kutoka kwenye chama chao.
Vipi mbona kimya huko, au mnakubali kuwa 2015 mulichukua form kimakosa na ya kwamba hamkuwa na sifa za kuwa na vyeo mlivyoomba?.
Huu ukimya wa memba wa ccm juu ya kuwatia Urais maana yake nini?.
Sumu haionjwiVip kuna ambao wataruhusiwa kuchukua fomu au ule utamaduni unaendelea?
Thubutu akidiriki wa kujitokeza anatimuliwa. Watatokea akina Msukuma kuzuga watu. Mruhusu membe agombee kama mna demokrasia. demokrasia haipimwi kwa akina msukuma! Inapimwa kwa rivals kama alivyofanya Mwambe! Mruhusu Membe muone kaziKatibu wa uenezi CCM ndugu Polepole amesema fomu za kugombea urais kwa wanachama wa bara na visiwani zitaanza kutolewa tarehe 15 June hadi 30 June 2020.
Polepole amewataka wote wenye nia yu kugombea urais wazingatie muda uliowekwa.
Source EATV habari
My take; CCM kuna Demokrasia yu kweli tofauti na Chadema
Maendeleo hayana vyama!
Na ambae tunasikia akipongezwa kila siku?Membe ndiye mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM mwaka huu
Zile kule ni takataka tu!Sawa na kuwaambia waonje sumu,
Labda Lowasa na sumaye wako mbioni kuchukua fomu za uenyekiti
Kuna chama kinasubiri wa kukatwa...Ratiba ya mchakato wa kumpata wagombea wa CCM wa Urais Tanzania inaanza June 15,2020 hadi June 30,2020 ambapo Watu watachukua na kurejesha fomu kisha baada ya hapo vikao vya uchujaji vitaanza.
July 09, 2020 kitaketi kikao cha Kamati Kuu ya Halmshauri Kuu ya Taifa ya CCM ambayo itatoa mapendekezo kwa Halmashauri Kuu ya Taifa juu ya majina ya wanachama waisozidi watano wanaoomba kugombea kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
July 10, 2020 kitaketi kikao cha Halmshauri Kuu ya Taifa ya Chama chetu ambacho kitakuwa na kazi ya kupendekeza kwa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa, majina yasiyozidi matatu ya wanaoomba dhamana ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
July 11 hadi July 12 ,2020 utaketi Mkutano Mkuu wa CCM Taifa ambao utakuwa na kazi ya kuchagua jina moja la Mwanachama atakayesimama katika uchaguzi wa Urais kwa tiketi ya CCM.