Urais siyo nafasi ya Majaribio lazima apatikane mtu madhubuti

Urais siyo nafasi ya Majaribio lazima apatikane mtu madhubuti

GT
Hatupaswi kuchezea nafasi ya uraisi kwa tamaa binafsi hili ni suala la kitaifa.
Linapokuja suala la uraisi maslahi ya Taifa lazima yakae mbele kwanza vyama pembeni Samia hana uwezo na udhubutu huo.
View attachment 3413023
1753090574325.jpeg
 
MAMA NI RAIS MZURI NA MAPUNGUFU YAKE. KUNA KIPINDI MZEE DEWJI ALIGEUKA MSEMAJI WA SIMBA ANAITA PRESS ANAONGEA KUHUSU SAFARI MARA HIVI. WATU WAKAGOMBA AHMED ALI ANA KAZ GAN HAPO? HUO SIO WAJIBU WAKE ATULIE KAMA KUNA JAMBO AMTUME AHMED ALLY ASEME SI YEYE AU AJITANGAZE YE NI MSEMAJI WA KLABU. MNAMUONA SIKU HIZI?

KUNA KITU HUWA NAJIULIZA, HIVI MR ANAKAZI GANI HAPO ZANZIBAR, MANA MAMA ANATAKA KUFANYA KILA KITU MARA BARA MARA ZANZIBAR LAKINI HUKO KUNA RAIS INAFIKA HATUA BARABARA ZNAZO JENGWA ZANZIBAR WATU WANAAMINI NI MAMA.

HII INAFANYA MR AONEKANE SI CHOCHOTE HAINIFURAHISHI AU AENDE AKAGOMBEE ZENJI MR AJE HUKU ILI AWE KARIBU NA PALE ANAPO PATAKA. IMEFIKIA HATU MR ANA KOPA ALETE MAENDELEO ZENJI WATU WANAHISI MAMA ANACHUKUA PESA BARA ANAPELEKA KULE KUMBE SAA ZINGINE HAMNA. HII INSHU YA MISS JANA NI INSHU NZURI NMEFURAHI SANA TUANDAE HAYO MAONESHO ILA KAMA YE KAENDA ZENJI KWA AJIL YA HIYO INSHU HUYU MR ANAKAZI GANI?JE HAKUEPO AU HAKUITAJIKA? AU HAWEZI KUSIMAMIA?


kwishaaaa

Bro Alex on da beats yoow
 
Na huo ndio Ukweli Mchungu,ambao sisi "chawa wa mama" huwa hatupendi kuusikia..
 
Back
Top Bottom