Urais wa Maisha: Baraza la Maaskofu na Kadinali Pengo wapo?

Urais wa Maisha: Baraza la Maaskofu na Kadinali Pengo wapo?

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,320
Reaction score
117,674
Inaonekana nchi hii Rais akiwa muislam.
Basi kutwa tunapatiwa waraka wa Uongozi Bora unaoheshimu katiba kutoka
Kwa Viongozi WA kanisa katoliki
Na Baraza la maaskofu.

Wenye kumbukumbu wote mnakumbuka jinsi hata tetesi zikitokea wakati wa Kikwete ..haraka Sana taasisi hizo zinatoa matamshi makali kukemea na hata kutishia hali ya amani kutoweka huko mbele iwapo
Katiba haitaheshimiwa.

Sasa leo Spika wa Bunge kazungumza bungeni kabisa kuwa mpango wa kubadili katiba tuwe na Rais wa maisha unakuja..

Hapa najiuliza na hili wenzetu mtalikalia kimyaa? Na hili Baraza la Maaskofu na kanisa katoliki ni sahihi kwenu?
Hivi ikitokea katiba ikabadilishwa na mtu.

Wenu Mungu akamchukua na akarithiwa na muislam ... mtaendelea kukaa kimyaa na urais wa maisha? Au nyinyi nyote mtaaamka na kuanza kudai haki za kiraia na demokrasia pana na kila aina ya haki mtazikumbuka?

Msisahau nyinyi mna mipango yenu na Mungu ana mipango yake..msije..geuka huko mbele
 
Mkuu hili baraza la maaskofu katoliki (tec) limekuwa kama kikundi cha wahuni kabisa..
Serikali hii ya awamu ya 5 inafanya mambo mengi ya ovyo hasa ya kusigina Katiba na haki za raia lakini wapo kimyaa kabisa..
Lakini wakati wa jk ilikuwa kila siku kumpa presha mzee wa watu..
MUNGU ni wa watu wote na Mungu huwa hachezewi..kuna pigo kuu linakuja kwa utawala huu.
 
Magufuli hana ubavu wa kujiongezea muda akitaka kuona nguvu ya jeshi(JWTZ) na mataifa kama Marekani aje ajaribu atabinywa kende mwaka mmoja tu anakimbia Ikulu au anapinduliwa.

Ni vigumu sana kuirudisha nchi ambayo ishaonja mfumo wa democrasia kwenye utawala wa kidicteta wao waendelee tu kumdanganya ila atambue Jeshi halihongwi hata siku moja ukiwapa pesa ndio wanataka zaidi na zaidi tena kwa masharti.

Wanaotegemea jeshi litawasaliti wananchi polen sana, Msimdanganye mwenzenu watu wakaja kumuokota kwenye mtaro siku moja.
 
Inaonekana nchi hii Rais akiwa muislam.
Basi kutwa tunapatiwa waraka wa Uongozi Bora unaoheshimu katiba kutoka
Kwa Viongozi WA kanisa katoliki
Na Baraza la maaskofu...

Wenye kumbukumbu wote mnakumbuka jinsi hata tetesi zikitokea wakati wa Kikwete ..haraka Sana taasisi hizo zinatoa matamshi makali kukemea na hata kutishia hali ya amani kutoweka huko mbele iwapo
Katiba haitaheshimiwa..

Sasa leo Spika wa Bunge kazungumza bungeni kabisa kuwa mpango wa kubadili katiba tuwe na Rais wa maisha unakuja..

Hapa najiuliza na hili wenzetu mtalikalia kimyaa? Na hili Baraza la Maaskofu na kanisa katoliki ni sahihi kwenu?
Hivi ikitokea katiba ikabadilishwa na mtu
Wenu Mungu akamchukua na akarithiwa na muislam ... mtaendelea kukaa kimyaa na urais wa maisha? Au nyinyi nyote mtaaamka na kuanza kudai haki za kiraia na demokrasia pana na kila aina ya haki mtazikumbuka?...

Msisahau nyinyi mna mipango yenu na Mungu ana mipango yake..msije..geuka huko mbele
Barikiwa sana mkuu The boss
 
Mkuu usichanganye siasa na dini tafadhali sana msituharibie nchi
Wananchi wa Tanzania wana dini lakini Nchi haina dini tuwe makini katika hili tusije kuingia matatizoni

Hii nchi salama yake ni uoga walionao wananchi, dini ikitumika kusifia serikali na kufumbua macho uovu sio siasa. Lakini dini ikikemea uovu ni kuchanganya dini na siasa.
 
Magufuli hana ubavu wa kujiongezea muda akitaka kuona nguvu ya jeshi(JWTZ) na mataifa kama Marekani aje ajaribu atabinywa kende mwaka mmoja tu anakimbia Ikulu au anapinduliwa.

Kwa hili hofu aliyopandikiza sioni akishindwa kufanya hilo. Atakachofanya ni kuwapa malipo ya kufuru hao viongozi wa JWTZ, na viongozi wengine wa vyombo vya dola. Huoni sasa hivi ananajisi chaguzi za nchi, na vyombo vya dola vinakuwa sehemu ya huo uhayawani?
 
Swala la ukimya viongozi wa dini kwa maneno yaliyosemwa Bungeni na Andunje Ndugai na vikaragosi vyake halitakiwi kuhusishwa na dini bali sote tulillaani kwa nguvu zote. Raisi awe Mkristo au Mwisilamu hatakiwi hata kidogo kuichezea katiba kuhusu kipengere cha muda wa kukaa madarakani. Siku hizi andunje anajikomba sana kwa bwana mkubwa ili amnusuru cheo cha Uspika kwenye Bunge lijalo.
 
Magufuli hana ubavu wa kujiongezea muda akitaka kuona nguvu ya jeshi(JWTZ) na mataifa kama Marekani aje ajaribu atabinywa kende mwaka mmoja tu anakimbia Ikulu au anapinduliwa.
SUBUTU, Marekani mwenyewe anagwaya maana hatuombi msaada kwake! na hilo la Jeshi sahau kabisa, majaribio yote yaliyofanywa wakati wa Nyerere yaliishia wapi? Unafikiri JPM ni mjinga kushindwa kulidhibiti jeshi mapema?
 
Usije ukawategemea Catholic kua na wananchi wkt wa Shida.Hata mussolin na Hitler walijua hilo na waliwatumia vizuri sana viongozi wa kanisa.

Ukiona wanapiga kelele kama walivyokua wanapiga kwa JK ujue hapo maslahi yao yameguswa au walipopiga kelele kule Congo wkt wa uchaguzi ni vile waliona Tshisekedi hakua na maslahi nao lkn kama sio hivyo mtapigwa mpk mtachakaa jamaa wala hawana muda wao ni mwendo wa sadaka/fungu la 10/zawadi kwa Mtoto yesu na mambo kama hayo ndio interest zao.
 
Inaonekana nchi hii Rais akiwa muislam.
Basi kutwa tunapatiwa waraka wa Uongozi Bora unaoheshimu katiba kutoka
Kwa Viongozi WA kanisa katoliki
Na Baraza la maaskofu.

Wenye kumbukumbu wote mnakumbuka jinsi hata tetesi zikitokea wakati wa Kikwete ..haraka Sana taasisi hizo zinatoa matamshi makali kukemea na hata kutishia hali ya amani kutoweka huko mbele iwapo
Katiba haitaheshimiwa.

Sasa leo Spika wa Bunge kazungumza bungeni kabisa kuwa mpango wa kubadili katiba tuwe na Rais wa maisha unakuja..

Hapa najiuliza na hili wenzetu mtalikalia kimyaa? Na hili Baraza la Maaskofu na kanisa katoliki ni sahihi kwenu?
Hivi ikitokea katiba ikabadilishwa na mtu.

Wenu Mungu akamchukua na akarithiwa na muislam ... mtaendelea kukaa kimyaa na urais wa maisha? Au nyinyi nyote mtaaamka na kuanza kudai haki za kiraia na demokrasia pana na kila aina ya haki mtazikumbuka?

Msisahau nyinyi mna mipango yenu na Mungu ana mipango yake..msije..geuka huko mbele
Sisi wananchi tumechukua hatua zipi kukemea hayo matamko ya kishenzi ?

Tuache ujinga wa kusubiri kusemewa semewa na watu wengine.

Tujifunze kupambania haki zetu
 
Back
Top Bottom