Urais wa Maisha: Baraza la Maaskofu na Kadinali Pengo wapo?

Mkuu usichanganye siasa na dini tafadhali sana msituharibie nchi
Wananchi wa Tanzania wana dini lakini Nchi haina dini tuwe makini katika hili tusije kuingia matatizoni
Viongozi wanapoaapa kwanini wanashika vitabu vya dini???

Kwanini sikukuu za mashujaa wanawaalika Makasisi na mashekhei???

Bunge linaanza na sala kumuomba Mungu??
Politics is part and parcel, are inseparable things.

Kawe Alumin pole naona understanding yako katika mambo ya kawaida ipo chini sana.

Jiongeze Mkuu.

Siasa na dini na maisha ya watu ni chanda na pete
 
Inaonekana nchi hii Rais akiwa muislam.
Basi kutwa tunapatiwa waraka wa Uongozi Bora unaoheshimu katiba kutoka
Kwa Viongozi WA kanisa katoliki
Na Baraza la maaskofu.

Wenye kumbukumbu wote mnakumbuka jinsi hata tetesi zikitokea wakati wa Kikwete ..haraka Sana taasisi hizo zinatoa matamshi makali kukemea na hata kutishia hali ya amani kutoweka huko mbele iwapo
Katiba haitaheshimiwa.

Sasa leo Spika wa Bunge kazungumza bungeni kabisa kuwa mpango wa kubadili katiba tuwe na Rais wa maisha unakuja..

Hapa najiuliza na hili wenzetu mtalikalia kimyaa? Na hili Baraza la Maaskofu na kanisa katoliki ni sahihi kwenu?
Hivi ikitokea katiba ikabadilishwa na mtu.

Wenu Mungu akamchukua na akarithiwa na muislam ... mtaendelea kukaa kimyaa na urais wa maisha? Au nyinyi nyote mtaaamka na kuanza kudai haki za kiraia na demokrasia pana na kila aina ya haki mtazikumbuka?

Msisahau nyinyi mna mipango yenu na Mungu ana mipango yake..msije..geuka huko mbele
Mfumo wa dini Tz Kuna mfumo kristo
 
Maraisi Wakatoliki wanatawala kwa mkono wa chuma. Kwenye utawala wao haongei Muislam wala haongei Mkristo wote tunakuwa Makondoo tu na wananchi wote tunalimia meno kwa maisha magumu.
 
Mkuu usichanganye siasa na dini tafadhali sana msituharibie nchi
Wananchi wa Tanzania wana dini lakini Nchi haina dini tuwe makini katika hili tusije kuingia matatizoni
Mtu akiongea ukweli ni vizuri ukajadiliwa kuliko kutishana...Mleta hoja kwangu mimi yupo sahihi sana...Wakati wa Kikwete Kanisa Katoliki liliongea sana kuhusu haki,amani ,Demokrasia na utawala bora ila leo wapo kimya ..ni Lutheran tu angalau wanajaribu kukosoa,kushauri na kupinga mambo mabaya.
 
Maraisi Wakatoliki wanatawala kwa mkono wa chuma. Kwenye utawala wao haongei Muislam wala haongei Mkristo wote tunakuwa Makondoo tu na wananchi wote tunalimia meno kwa maisha magumu.

Lipo wazi Hilo akiingia Mkristo ni lzm maisha yawe magumu.Hata 87% ya madikteta wote ni Wakristo ukicheck list ya madikteta duniani,hii uleta shaka.
Uislamu umechambua vizuri Sana na kueleza vizuri Sana jinsi ya kuwaongoza watu.Wao wanatumia mbinu za kuongozea wanyama ndizo uongozea watu.
 
Kuna siku Rais atakuwa muislam na yeye wampe ukimyaa huu huu

Boss tatizo sio dini ya kiongozi...tatizo ni mfumo na namna ya uongozi.

Unaposema akiwa mwislamu watapiga kelele, je kwa sasa kuna Shekhe yeyote aliyejaribu kuonya namna ya uongozi wa sasa? Kama vile baadhi ya viongozi wa BAKWATA wanavyolaumiwa kuwa wasaliti vile vile hata ktk viongozi wa dini ya kikiristo wapo wanaopamba mapambio. Ila wako wengi ambao wanakosoa na wataendelea kukosoa hata kesho.

Wengi wanataka kusema sio wakristo sio waislamu ila wanashikwa na kigugumizi wakifikiria ya akina Kakobe na wenziwe
 
Hapo ni suala la unafiki na njaa hofu ya kukosa sadaka.Kenya huwezi kuta dini inachezewa na wahuni na viongozi wao wakakaa tu kimya Hadi kuwakaribisha madhabauni wamdhihaki Mungu.Kule wanakemewa wazi wazi bila kificho ili wasibomoe amani ya nchi na sio kuwapambapamba pamba sababu wanakuhonga.
 
Inaonekana nchi hii Rais akiwa muislam.
Basi kutwa tunapatiwa waraka wa Uongozi Bora unaoheshimu katiba kutoka
Kwa Viongozi WA kanisa katoliki
Na Baraza la maaskofu.

Wenye kumbukumbu wote mnakumbuka jinsi hata tetesi zikitokea wakati wa Kikwete ..haraka Sana taasisi hizo zinatoa matamshi makali kukemea na hata kutishia hali ya amani kutoweka huko mbele iwapo
Katiba haitaheshimiwa.

Sasa leo Spika wa Bunge kazungumza bungeni kabisa kuwa mpango wa kubadili katiba tuwe na Rais wa maisha unakuja..

Hapa najiuliza na hili wenzetu mtalikalia kimyaa? Na hili Baraza la Maaskofu na kanisa katoliki ni sahihi kwenu?
Hivi ikitokea katiba ikabadilishwa na mtu.

Wenu Mungu akamchukua na akarithiwa na muislam ... mtaendelea kukaa kimyaa na urais wa maisha? Au nyinyi nyote mtaaamka na kuanza kudai haki za kiraia na demokrasia pana na kila aina ya haki mtazikumbuka?

Msisahau nyinyi mna mipango yenu na Mungu ana mipango yake..msije..geuka huko mbele
Kwa sasa rais ni kijana wao "altar Boy" kwa hiyo nyaraka zao wamezihifadhi. WANASUBIRI rais awe Muislam ndiyo waibuke na waraka kama kawaida yao.
 
Inaonekana nchi hii Rais akiwa muislam.
Basi kutwa tunapatiwa waraka wa Uongozi Bora unaoheshimu katiba kutoka
Kwa Viongozi WA kanisa katoliki
Na Baraza la maaskofu.

Wenye kumbukumbu wote mnakumbuka jinsi hata tetesi zikitokea wakati wa Kikwete ..haraka Sana taasisi hizo zinatoa matamshi makali kukemea na hata kutishia hali ya amani kutoweka huko mbele iwapo
Katiba haitaheshimiwa.

Sasa leo Spika wa Bunge kazungumza bungeni kabisa kuwa mpango wa kubadili katiba tuwe na Rais wa maisha unakuja..

Hapa najiuliza na hili wenzetu mtalikalia kimyaa? Na hili Baraza la Maaskofu na kanisa katoliki ni sahihi kwenu?
Hivi ikitokea katiba ikabadilishwa na mtu.

Wenu Mungu akamchukua na akarithiwa na muislam ... mtaendelea kukaa kimyaa na urais wa maisha? Au nyinyi nyote mtaaamka na kuanza kudai haki za kiraia na demokrasia pana na kila aina ya haki mtazikumbuka?

Msisahau nyinyi mna mipango yenu na Mungu ana mipango yake..msije..geuka huko mbele
Mimi ni Mkatoliki ,kazi ilifanywa na kanisa katoliki kupitia TEC baraza la maaskofu sasa inafanywa na BABA ASKOFU DR BENSON BAGONZA,DR STEVEN MUNGA, BISHOP BANDEKILE WA KANISA LA MOROVIAN LA UAMSHO.

KANISA KATOLIKI limeyiwa mfukoni na serikali, RAIS WA BARAZA (TEC) Mhashamu Baba Askofu Gervas Nyaisonga yuko very loyal kwa GVT ,mpaka anatolewa mfano wakati wa hotuba juu Corona na kufungua Ibada.

Roman catholic kidogo MH Baba Askofu Severin Niwemuguzi amejitahidi sana mpaka ameshambuliwa indirect kwa maneno na wenye Mamlaka.

Kifupi naungana mkono na wewe, kanisa Katoliki limetawaliwa na Unafiki wa hali ya juu mno.

Na hii itapelekea tuonekane kiongozi mkuu akiwa mkatoliki kimyaa,akiwa Muislamu tunapiga sana kelele, refer JAKAYA KIKWETE.

Aliandikiwa waraka kweli kweli.

Ikitokea jambo mbaya, ambalo lisitokee, KANISA KATOLIKI halitakwepa lawama ya ya UNAFIKI wa kukaa kwake kimyaa.

🤨🤨🤨
 
The Boss, baraza la maaskofu na huyo pengo wote NI masanamu yenye tabasamu pana usoni. Hawana guts za kuikemea serikali. Wao ni sawa na saa mbovu, Mara mbili kwa siku huonesha majira sahihi Kama saa nzima
Hivi bakwata na masheikh wao hawawezi kutoa waraka Hadi tuwalalamikie maaskofu tuu?
 
Tec ni wanaafiq sana, lengo lao ni kutaka kuiaminisha jamii kuwa rais wa dini flan hafai kutawala tz...
Akakaa mtu wa dini yao bas hawasemi kitu kabsa hata kama utawala huo unafanya ndivo sivyo!
 
Huyu jamaa anavyoingia ingia kwenye hilo kanisa halafu nije niskie eti kanisa katoliki linapinga kujiongezea muda.
 
Back
Top Bottom