James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 9,529
- 16,291
Mkuu the boss,Kuna siku Rais atakuwa muislam na yeye wampe ukimyaa huu huu
Kwanza mada yako ni fikirishi, nakupongeza. I eleweke kuwa rais ameshakanusha mara kadhaa habari ya kuzidisha miaka kumi. Hao wanaojisemesha hivyo ni majuha kwa my knowledge.
Sasa kipindi cha kikwete sikumbuki huu uvumi sana kwa kweli siwezi kukoment ila nakua Kikwete ni kanali anajua jeshi lisingekubali.