Urais wa Maisha: Baraza la Maaskofu na Kadinali Pengo wapo?

SUBUTU, Marekani mwenyewe anagwaya maana hatuombi msaada kwake! na hilo la Jeshi sahau kabisa, majaribio yote yaliyofanywa wakati wa Nyerere yaliishia wapi? Unafikiri JPM ni mjinga kushindwa kulidhibiti jeshi mapema?
January 1964 wakati Tanganyika Rifles walipoasi, Rais Nyerere aliomba msaada kwa waliokuwa watawala wetu miaka mitatu nyuma.
Royal Marine Commandos walitumwa na Uingereza(UK) kutoka manowari kubwa ya kivita iliyokuwa Indian Ocean karibu na Mauritius.
Wababe hawa walituliza uasi huo kwa siku nane na kushika sehemu zote muhimu.
Waliendelea kuilinda nchi kwa mwezi mmoja zaidi baada ya Rais Julius K Nyerere kuibuka toka mafichoni
 
Magufuli hana ubavu wa kujiongezea muda akitaka kuona nguvu ya jeshi(JWTZ) na mataifa kama Marekani aje ajaribu atabinywa kende mwaka mmoja tu anakimbia Ikulu au anapinduliwa.
Mkuu unaongea hii kwa ushahidi upi ndugu yangu mangapi anafanya yakuharibu Nchi .. anachofanya huyu jamaa nikuwalipa mahela mengi nakuteua watu wake kwenye ngazi za juu so usitarajie chochote
 
Mchango wa dini katika kuleta mabadiliko katika maisha ya binadamu ni mdogo sana mkuu,pole sana kama unaitazama dini kama kitu kinachoweza kuleta mabadiliko yoyote makubwa au ya maana.
 
Magufuli hana ubavu wa kujiongezea muda akitaka kuona nguvu ya jeshi(JWTZ) na mataifa kama Marekani aje ajaribu atabinywa kende mwaka mmoja tu anakimbia Ikulu au anapinduliwa.
Hiki unachoongea ni hisia zako tu siyo uhalisia wenyewe.

Taasisi zote za umma ni matawi ya ccm wewe unazungumzia JWTZ watamfanyaje kwa mfano akitaka kuongeza muda.

CCM kimeshachoka kufanya siasa sasa hivi kimelazimika kutumia njia haramu ili kiendelee kubaki madarakani.

Amini naawambieni ccm haitatoka madarakani kwa SANDUKU LA KURA, njia pekee ya kuitoa ccm madarakani kwa sasa ni CIVIL DISIOBDIENCE najua wataua watu wengi sana ila hawatawamaliza risasi zitawaishia na wananchi hawatakoma.
 
Hilo jeshi lako alishaliweka mfukoni siku nyingi sana.
Wala usitegemee litamgeuka
Sasa unataka wamtoe wavunje katiba? wanamwangalia tu 5 inaisha wamamwangalia tena kama atashinda ila zaidi ya 10 hakuna kitu kama hicho jeshi halihongwa hata Mkapa, Kikwete walikuwa na mawazo kama yake lakini walikwama.
 
Mkuu usichanganye siasa na dini tafadhali sana msituharibie nchi
Wananchi wa Tanzania wana dini lakini Nchi haina dini tuwe makini katika hili tusije kuingia matatizoni
Dini na siasa zilishachanganyika hata kabla hujazaliwa, sijui unaishi sayari gani wewe. Ni vigumu kutenganisha dini na siasa.
 
Magufuli hana ubavu wa kujiongezea muda akitaka kuona nguvu ya jeshi(JWTZ) na mataifa kama Marekani aje ajaribu atabinywa kende mwaka mmoja tu anakimbia Ikulu au anapinduliwa.
Tusijidanganye kwamba tutasaidiwa na mgeni yeyote..yaani bila watanzania kubadilika na kuamua kupambana wwnyewe inakula kwetu.hao jamaa sana kawaida ya kuingilia kama maslahi yao yataguswa..wala usidhani watatikisika kwa kusikia tumeanza kuminya demokrasia au tumeanza uliwa..wangelikuwa na huruma kashogi angelikuwa hai Leo na wengine wengi
 
Nakuhakikishia hatoweza kama pesa ya kuwalipa posho mwez 5 ilisuasua ije iwe kupata pesa ya kuwalipa JW wakati wa vikwazo vya Marekani. somo halipo mbali ni hapa burundi na zimbabwe vikwazo vya kiuchumi vya mwaka tu unanyoosha mikono. hii kitu haitakaa itokee

Mkuu kwani analilipa jeshi lote, anawapa viongozi wao tu, kisha wanatoa amri kwa waliochini yao. Ikiwa hivyo hao waliochini labda waasi. Nadhani huwa unasikia anachoongea CDF. Hapo unategemea nini?
 
Inaonekana nchi hii Rais akiwa muislam.
Basi kutwa tunapatiwa waraka wa Uongozi Bora unaoheshimu katiba kutoka
Kwa Viongozi WA kanisa katoliki
Na Baraza la maaskofu.

Wenye kumbukumbu wote mnakumbuka jinsi hata tetesi zikitokea wakati wa Kikwete ..haraka Sana taasisi hizo zinatoa matamshi makali kukemea na hata kutishia hali ya amani kutoweka huko mbele iwapo
Katiba haitaheshimiwa.

Sasa leo Spika wa Bunge kazungumza bungeni kabisa kuwa mpango wa kubadili katiba tuwe na Rais wa maisha unakuja..

Hapa najiuliza na hili wenzetu mtalikalia kimyaa? Na hili Baraza la Maaskofu na kanisa katoliki ni sahihi kwenu?
Hivi ikitokea katiba ikabadilishwa na mtu.

Wenu Mungu akamchukua na akarithiwa na muislam ... mtaendelea kukaa kimyaa na urais wa maisha? Au nyinyi nyote mtaaamka na kuanza kudai haki za kiraia na demokrasia pana na kila aina ya haki mtazikumbuka?

Msisahau nyinyi mna mipango yenu na Mungu ana mipango yake..msije..geuka huko mbele
watu wa aina yako hawafai kabisa naona unajaribu kuleta harufu ya udini kwa nguvu.
 
Mkuu usichanganye siasa na dini tafadhali sana msituharibie nchi
Wananchi wa Tanzania wana dini lakini Nchi haina dini tuwe makini katika hili tusije kuingia matatizoni

Matatizo ya dini ni madogo sana kulinganisha na swala na kutaka mtu mmoja atawale kwa muda atakaotaka yeye!!

Usitake kutumia dini kama kichaka cha maovu. Mleta mada amesema ukweli, maaskofu walitoa nyaraka nyingi kuhusu mambo mengi wakati wa JK - je wanaponyamaza sasa ni kuwa wanakubaliana na yanayoendelea au wanaogopa kuonekana wana mawazo kinzani?? Je wao ni sehemu ya mambo haya au la?? Maswali haya yana majibu!!
 
Inaonekana nchi hii Rais akiwa muislam.
Basi kutwa tunapatiwa waraka wa Uongozi Bora unaoheshimu katiba kutoka
Kwa Viongozi WA kanisa katoliki
Na Baraza la maaskofu.

Wenye kumbukumbu wote mnakumbuka jinsi hata tetesi zikitokea wakati wa Kikwete ..haraka Sana taasisi hizo zinatoa matamshi makali kukemea na hata kutishia hali ya amani kutoweka huko mbele iwapo
Katiba haitaheshimiwa.

Sasa leo Spika wa Bunge kazungumza bungeni kabisa kuwa mpango wa kubadili katiba tuwe na Rais wa maisha unakuja..

Hapa najiuliza na hili wenzetu mtalikalia kimyaa? Na hili Baraza la Maaskofu na kanisa katoliki ni sahihi kwenu?
Hivi ikitokea katiba ikabadilishwa na mtu.

Wenu Mungu akamchukua na akarithiwa na muislam ... mtaendelea kukaa kimyaa na urais wa maisha? Au nyinyi nyote mtaaamka na kuanza kudai haki za kiraia na demokrasia pana na kila aina ya haki mtazikumbuka?

Msisahau nyinyi mna mipango yenu na Mungu ana mipango yake..msije..geuka huko mbele
Kulingana na code of canon law rais mkatoliki yupo juu ya maaskofu wote na baraza la maaskofu. Mamlaka ya rais mkatoliki yanahojiwa na Baba Mt pekee!
 
Ndugai hasemi, anaambiwa na wabunge. Pinda yupo nje ya bunge, hawezi kushiriki kubadili katiba. Msukuma mropokaji tu, huyo mkulima mimi sijui ni nani
Injia mkuu ndo mpima upepo ,hao wote akili zao zimegota yaan ccm nzima hawana mbadala,Kama ya Mungu mengi je wataongozwa na Nani sasa
 
watu wa aina yako hawafai kabisa naona unajaribu kuleta harufu ya udini kwa nguvu.
Wakati Baraza la maaskofu Wana mtolea Kikwete nyaraka na matamko haikuwa udini?
 
Matatizo ya dini ni madogo sana kulinganisha na swala na kutaka mtu mmoja atawale kwa muda atakaotaka yeye!!

Usitake kutumia dini kama kichaka cha maovu. Mleta mada amesema ukweli, maaskofu walitoa nyaraka nyingi kuhusu mambo mengi wakati wa JK - je wanaponyamaza sasa ni kuwa wanakubaliana na yanayoendelea au wanaogopa kuonekana wana mawazo kinzani?? Je wao ni sehemu ya mambo haya au la?? Maswali haya yana majibu!!
Vipi na wale wa bakwata mbona nao kimya au sababu ni wanufaika
 
Kulingana na code of canon law rais mkatoliki yupo juu ya maaskofu wote na baraza la maaskofu. Mamlaka ya rais mkatoliki yanahojiwa na Baba Mt pekee!
Lakini wao Rais akiwa muislam wanayo haki ya kumtukana na kumtolea matamko?
 
Inaonekana nchi hii Rais akiwa muislam.
Basi kutwa tunapatiwa waraka wa Uongozi Bora unaoheshimu katiba kutoka
Kwa Viongozi WA kanisa katoliki
Na Baraza la maaskofu.

Wenye kumbukumbu wote mnakumbuka jinsi hata tetesi zikitokea wakati wa Kikwete ..haraka Sana taasisi hizo zinatoa matamshi makali kukemea na hata kutishia hali ya amani kutoweka huko mbele iwapo
Katiba haitaheshimiwa.

Sasa leo Spika wa Bunge kazungumza bungeni kabisa kuwa mpango wa kubadili katiba tuwe na Rais wa maisha unakuja..

Hapa najiuliza na hili wenzetu mtalikalia kimyaa? Na hili Baraza la Maaskofu na kanisa katoliki ni sahihi kwenu?
Hivi ikitokea katiba ikabadilishwa na mtu.

Wenu Mungu akamchukua na akarithiwa na muislam ... mtaendelea kukaa kimyaa na urais wa maisha? Au nyinyi nyote mtaaamka na kuanza kudai haki za kiraia na demokrasia pana na kila aina ya haki mtazikumbuka?

Msisahau nyinyi mna mipango yenu na Mungu ana mipango yake..msije..geuka huko mbele
Angekuwa Rais muislamu ungesikia kelele zao hawa wagalatia wabaguzi sana hawa mafisadi wa escrow
 
Magufuli hana ubavu wa kujiongezea muda akitaka kuona nguvu ya jeshi(JWTZ) na mataifa kama Marekani aje ajaribu atabinywa kende mwaka mmoja tu anakimbia Ikulu au anapinduliwa.

Ni vigumu sana kuirudisha nchi ambayo ishaonja mfumo wa democrasia kwenye utawala wa kidicteta wao waendelee tu kumdanganya ila atambue Jeshi halihongwi hata siku moja ukiwapa pesa ndio wanataka zaidi na zaidi tena kwa masharti.

Wanaotegemea jeshi litawasaliti wananchi polen sana, Msimdanganye mwenzenu watu wakaja kumuokota kwenye mtaro siku moja.
Kaka jeshi gani?hili letu sidhani
 
Mkuu hili baraza la maaskofu katoliki (tec) limekuwa kama kikundi cha wahuni kabisa..
Serikali hii ya awamu ya 5 inafanya mambo mengi ya ovyo hasa ya kusigina Katiba na haki za raia lakini wapo kimyaa kabisa..
Lakini wakati wa jk ilikuwa kila siku kumpa presha mzee wa watu..
MUNGU ni wa watu wote na Mungu huwa hachezewi..kuna pigo kuu linakuja kwa utawala huu.
Nyie ndo wale kwenye ugomvi mnaanzaga .unajua mim ni nan

...hahha
Wew nani bwana..kapuku..unajua nin kwanza
 
Magufuli hana ubavu wa kujiongezea muda akitaka kuona nguvu ya jeshi(JWTZ) na mataifa kama Marekani aje ajaribu atabinywa kende mwaka mmoja tu anakimbia Ikulu au anapinduliwa.

Ni vigumu sana kuirudisha nchi ambayo ishaonja mfumo wa democrasia kwenye utawala wa kidicteta wao waendelee tu kumdanganya ila atambue Jeshi halihongwi hata siku moja ukiwapa pesa ndio wanataka zaidi na zaidi tena kwa masharti.

Wanaotegemea jeshi litawasaliti wananchi polen sana, Msimdanganye mwenzenu watu wakaja kumuokota kwenye mtaro siku moja.
Kama nkuruzinza na kagame waliweza ataashindwa magu...mkuu magu anapendwa na wananchi kuliko unavodhan.mim nawajua wapinzan wa asil wa serikal ila now wote wanamkubal magu.sasa wew ni nan..unaongea nin..
 
Back
Top Bottom