Urais wa Maisha: Baraza la Maaskofu na Kadinali Pengo wapo?

Inaonekana nchi hii Rais akiwa muislam.
Basi kutwa tunapatiwa waraka wa Uongozi Bora unaoheshimu katiba kutoka
Kwa Viongozi WA kanisa katoliki
Na Baraza la maaskofu.

Wenye kumbukumbu wote mnakumbuka jinsi hata tetesi zikitokea wakati wa Kikwete ..haraka Sana taasisi hizo zinatoa matamshi makali kukemea na hata kutishia hali ya amani kutoweka huko mbele iwapo
Katiba haitaheshimiwa.

Sasa leo Spika wa Bunge kazungumza bungeni kabisa kuwa mpango wa kubadili katiba tuwe na Rais wa maisha unakuja..

Hapa najiuliza na hili wenzetu mtalikalia kimyaa? Na hili Baraza la Maaskofu na kanisa katoliki ni sahihi kwenu?
Hivi ikitokea katiba ikabadilishwa na mtu.

Wenu Mungu akamchukua na akarithiwa na muislam ... mtaendelea kukaa kimyaa na urais wa maisha? Au nyinyi nyote mtaaamka na kuanza kudai haki za kiraia na demokrasia pana na kila aina ya haki mtazikumbuka?

Msisahau nyinyi mna mipango yenu na Mungu ana mipango yake..msije..geuka huko mbele
Bahati nzuri, awamu hii tunaenda sawa. Habari za udini hatuhitaji kabisa sote lugha moja:
  1. Kumtanguliza Mungu
  2. Kuchapa kazi na,
  3. Kuchukua tahadhari.
 
Inaonekana nchi hii Rais akiwa muislam.
Basi kutwa tunapatiwa waraka wa Uongozi Bora unaoheshimu katiba kutoka
Kwa Viongozi WA kanisa katoliki
Na Baraza la maaskofu.

Wenye kumbukumbu wote mnakumbuka jinsi hata tetesi zikitokea wakati wa Kikwete ..haraka Sana taasisi hizo zinatoa matamshi makali kukemea na hata kutishia hali ya amani kutoweka huko mbele iwapo
Katiba haitaheshimiwa.

Sasa leo Spika wa Bunge kazungumza bungeni kabisa kuwa mpango wa kubadili katiba tuwe na Rais wa maisha unakuja..

Hapa najiuliza na hili wenzetu mtalikalia kimyaa? Na hili Baraza la Maaskofu na kanisa katoliki ni sahihi kwenu?
Hivi ikitokea katiba ikabadilishwa na mtu.

Wenu Mungu akamchukua na akarithiwa na muislam ... mtaendelea kukaa kimyaa na urais wa maisha? Au nyinyi nyote mtaaamka na kuanza kudai haki za kiraia na demokrasia pana na kila aina ya haki mtazikumbuka?

Msisahau nyinyi mna mipango yenu na Mungu ana mipango yake..msije..geuka huko mbele
Mkuu The Boss, nikusihi tusichanganye siasa na dini, hii itakuwa njia nzuri kuwagawa watanzania na kumruhusu shetani atamalaki
 
Mkuu hili baraza la maaskofu katoliki (tec) limekuwa kama kikundi cha wahuni kabisa..
Serikali hii ya awamu ya 5 inafanya mambo mengi ya ovyo hasa ya kusigina Katiba na haki za raia lakini wapo kimyaa kabisa..
Lakini wakati wa jk ilikuwa kila siku kumpa presha mzee wa watu..
MUNGU ni wa watu wote na Mungu huwa hachezewi..kuna pigo kuu linakuja kwa utawala huu.
Mta tapatapa kila kona lakini mwisho mtaelewa tuu maana ya ,mpango wa Mungu. Mtangulize Mungu, chapa kazi kisha chukua tahadhari maisha yatanyooka.
 
Mkuu The Boss, nikusihi tusichanganye siasa na dini, hii itakuwa njia nzuri kuwagawa watanzania na kumruhusu shetani atamalaki
Wakati wa Kikwete hawa walipokuwa wanatoa matamko hamkuwasikia?Wao ni Sawa kumtukana Rais muislam? Lakini akiingia mkristo wao wakikaa kimyaa tuliwauliza vipi?Sisi ndo tuna changanya dini na siasa?
 
Inaonekana nchi hii Rais akiwa muislam.
Basi kutwa tunapatiwa waraka wa Uongozi Bora unaoheshimu katiba kutoka
Kwa Viongozi WA kanisa katoliki
Na Baraza la maaskofu.

Wenye kumbukumbu wote mnakumbuka jinsi hata tetesi zikitokea wakati wa Kikwete ..haraka Sana taasisi hizo zinatoa matamshi makali kukemea na hata kutishia hali ya amani kutoweka huko mbele iwapo
Katiba haitaheshimiwa.

Sasa leo Spika wa Bunge kazungumza bungeni kabisa kuwa mpango wa kubadili katiba tuwe na Rais wa maisha unakuja..

Hapa najiuliza na hili wenzetu mtalikalia kimyaa? Na hili Baraza la Maaskofu na kanisa katoliki ni sahihi kwenu?
Hivi ikitokea katiba ikabadilishwa na mtu.

Wenu Mungu akamchukua na akarithiwa na muislam ... mtaendelea kukaa kimyaa na urais wa maisha? Au nyinyi nyote mtaaamka na kuanza kudai haki za kiraia na demokrasia pana na kila aina ya haki mtazikumbuka?

Msisahau nyinyi mna mipango yenu na Mungu ana mipango yake..msije..geuka huko mbele
Kwakuwa baraza la maaskofu ni taasisi inayohusisha idadi kubwa ya maaskofu, wape muda waitane, wakutane, wajadili na watoe azimio lao kihusu Jambo hilo. Haiwezekani Jambo lifanyike leo hapohapo baraza litoe tamko. Waraka una hatua za kufuata.
 
Huu mjadala ni mashambulizi dhahiri kwa Kanisa Katoliki! Naomba ushahidi hapa wa waraka wa TEC sababu ya maneno maneno ya kisiasa! Nyaraka zote za Kanisa zipo na sababu ya kutolewa kwake. Kwani Kikwete kutuhumiwa kuongeza muda hazikuwepo? TEC walitoa waraka?
 
Kwakuwa baraza la maaskofu ni taasisi inayohusisha idadi kubwa ya maaskofu, wape muda waitane, wakutane, wajadili na watoe azimio lao kihusu Jambo hilo. Haiwezekani Jambo lifanyike leo hapohapo baraza litoe tamko. Waraka una hatua za kufuata.
Hii mada imejengwa kwa msingi usio na ushahidi wowote. Kwamba tulinganishe matukio ya awamu iliyopita na hii? Kwamba mmesahau Kanisa Katoliki lilishambuliwa kwa bomu kwenye ibada huko Arusha? Kwamba mkutano wa kisiasa kupigwa bomu mmesahau pia? Vipi walitoa waraka?
 
Kabla hujawanyooshea kidole Maaskofu, hebu tuangalie dini za wabunge waliopendekeza hayo hadi sasa:
1. Juma Mkamia .......... muisilamu
2. Ally Kessy ........... muisilamu

Hebu rudi kwanza msikitini uwazuie hao, wakifuta kauli zao, akajiongezea mwenyewe, hapo ndio uwalaumu Maaskofu
Huyo Kessy aliyewahi sema Wabunge wanaojichubua waende akawatie mimba ili wapate watoto weupe. Naye kabisa mnaona ana dini!?

Juma ni njaa tupu.
 
Wakati wa Kikwete hawa walipokuwa wanatoa matamko hamkuwasikia?Wao ni Sawa kumtukana Rais muislam? Lakini akiingia mkristo wao wakikaa kimyaa tuliwauliza vipi?Sisi ndo tuna changanya dini na siasa?
Mkuu hakuna anayeweza jibu hoja hizi.
Wanajivika upofu.
 
Wakati wa Kikwete hawa walipokuwa wanatoa matamko hamkuwasikia?Wao ni Sawa kumtukana Rais muislam? Lakini akiingia mkristo wao wakikaa kimyaa tuliwauliza vipi?Sisi ndo tuna changanya dini na siasa?
Kwamba TEC walimtukana Jk? Naomba weka hapa waraka wowote wenye hayo matusi [emoji848]
 
Mkuu hili baraza la maaskofu katoliki (tec) limekuwa kama kikundi cha wahuni kabisa..
Serikali hii ya awamu ya 5 inafanya mambo mengi ya ovyo hasa ya kusigina Katiba na haki za raia lakini wapo kimyaa kabisa..
Lakini wakati wa jk ilikuwa kila siku kumpa presha mzee wa watu..
MUNGU ni wa watu wote na Mungu huwa hachezewi..kuna pigo kuu linakuja kwa utawala huu.
Nkurunzinza? Acha watu wakeshe bar
 
Dhulma inapotokea kwa mujibu wa mafundisho ya dini yatupasa tukemee kwa nguvu zote, kama umezidiwa nguvu na mwenye kudhulumu basi kemea hata kwa mdomo, Ikiwa kufanya hivyo kutahatarisha Maisha yako basi kuchukia moyoni dhulma hiyo inatosha huku ukikazania dua na subira. Hakika M/Mungu muumba wa mbingu na ardhi hutenda mambo yake kwa ufanisi uliotukuka. Certainly, God works in mysterious ways.
 
Hoja ya kuwahusisha viongozi wa dini, na hasa Kanisa Katoliki, ni ya msingi.
Sababu ni kwamba kiongozi mwandamizi wa Kanisa Katoliki wakati huo, Kardinali Pengo, alijitutumua sana kukosoa serikali za marais Mwinyi na Kikwete, lakini akawa bubu kwa serikali za Mkapa na Magufuli. Na kwa serikali ya Magufuli ndio kabisaaa Pengo alifikia hatua ya kujitoa ufahamu kabisa, na kuwasifia hata wapambe wa Magufuli, mtu kama Makonda! Kwa nini wawakosoe marais Waislamu tu? Huo ni Udini!

What goes around comes around
Sasa upande huu wamekaa kimya tena hata kusema neno
Chezea tumbo wewe
Halafu eti wanamuogopa Mungu
Dini zingine ni kimaslahi zaidi na kujilinda tu
 
Kwamba TEC walimtukana Jk? Naomba weka hapa waraka wowote wenye hayo matusi [emoji848]
Kuna level ya kumvunjia adabu mtu inakuwa ni Sawa na kumtukana..
Kumtolea matamko mengi na nyaraka nyingi
Kumbe wanaweza kabisa kunyamaza kimya hata Rais akivunja katiba kama sasa..
Hiyo level walivyo m treat Kikwete ukilinganisha na adabu wanayompa Magufuli ndo 'matusi' tena makubwa sana Kwa wengine tunaokumbuka...
 
Amini mwongozo wa dini yako ila viongozi wake wengi ni wapigaji sana, wanafanya vitu kutokana na maslahi yao si bakwata, baraza la maaskofu wala wachungaji wanajali matumbo yao. Kazini nina walokole hao uwambii kitu kwa askofu wao ambaye anakanisa, benki na kituo cha tv kanisani wahumini lazima watumie huduma hizo za askofu
Nakuunga mkono kwa zaidi ya 100% mkuu.
 
Wahenga walisema usipoziba ufa utajenga ukuta. Kimya chochote cha sasa ni majuto ya baadaye.
Njaa mbaya sana
IMG_20200610_212156.jpeg
 
Huyu mtu mbona mimi namuona kama tayari keshajichokea zake KIUMRI na hata KIAKILI....

Hata kumpa miaka mingine mitano tu huyu, ni shida na kumsumbua bila sababu...

Hawezi hata kujaribu tu kubadili katiba huyu....
 
Back
Top Bottom