Barikiwa sana mkuu The bossInaonekana nchi hii Rais akiwa muislam.
Basi kutwa tunapatiwa waraka wa Uongozi Bora unaoheshimu katiba kutoka
Kwa Viongozi WA kanisa katoliki
Na Baraza la maaskofu...
Wenye kumbukumbu wote mnakumbuka jinsi hata tetesi zikitokea wakati wa Kikwete ..haraka Sana taasisi hizo zinatoa matamshi makali kukemea na hata kutishia hali ya amani kutoweka huko mbele iwapo
Katiba haitaheshimiwa..
Sasa leo Spika wa Bunge kazungumza bungeni kabisa kuwa mpango wa kubadili katiba tuwe na Rais wa maisha unakuja..
Hapa najiuliza na hili wenzetu mtalikalia kimyaa? Na hili Baraza la Maaskofu na kanisa katoliki ni sahihi kwenu?
Hivi ikitokea katiba ikabadilishwa na mtu
Wenu Mungu akamchukua na akarithiwa na muislam ... mtaendelea kukaa kimyaa na urais wa maisha? Au nyinyi nyote mtaaamka na kuanza kudai haki za kiraia na demokrasia pana na kila aina ya haki mtazikumbuka?...
Msisahau nyinyi mna mipango yenu na Mungu ana mipango yake..msije..geuka huko mbele
Mkuu usichanganye siasa na dini tafadhali sana msituharibie nchi
Wananchi wa Tanzania wana dini lakini Nchi haina dini tuwe makini katika hili tusije kuingia matatizoni
Mbona kajenga airport kwao na wote wako kimya?Magufuli hana ubavu wa kujiongezea muda akitaka kuona nguvu ya jeshi(JWTZ) na mataifa kama Marekani aje ajaribu atabinywa kende mwaka mmoja tu anakimbia Ikulu au anapinduliwa.
Mkuu The Boss sijasikiliza bunge hivi ni kweli wamezungumza kitu Kama hicho? Kwamba jamaa anatengenezewa mpango akae ikulu milele? Siamini Kama Kuna ujinga Kama huu bungeni.
Magufuli hana ubavu wa kujiongezea muda akitaka kuona nguvu ya jeshi(JWTZ) na mataifa kama Marekani aje ajaribu atabinywa kende mwaka mmoja tu anakimbia Ikulu au anapinduliwa.
SUBUTU, Marekani mwenyewe anagwaya maana hatuombi msaada kwake! na hilo la Jeshi sahau kabisa, majaribio yote yaliyofanywa wakati wa Nyerere yaliishia wapi? Unafikiri JPM ni mjinga kushindwa kulidhibiti jeshi mapema?Magufuli hana ubavu wa kujiongezea muda akitaka kuona nguvu ya jeshi(JWTZ) na mataifa kama Marekani aje ajaribu atabinywa kende mwaka mmoja tu anakimbia Ikulu au anapinduliwa.
Sisi wananchi tumechukua hatua zipi kukemea hayo matamko ya kishenzi ?Inaonekana nchi hii Rais akiwa muislam.
Basi kutwa tunapatiwa waraka wa Uongozi Bora unaoheshimu katiba kutoka
Kwa Viongozi WA kanisa katoliki
Na Baraza la maaskofu.
Wenye kumbukumbu wote mnakumbuka jinsi hata tetesi zikitokea wakati wa Kikwete ..haraka Sana taasisi hizo zinatoa matamshi makali kukemea na hata kutishia hali ya amani kutoweka huko mbele iwapo
Katiba haitaheshimiwa.
Sasa leo Spika wa Bunge kazungumza bungeni kabisa kuwa mpango wa kubadili katiba tuwe na Rais wa maisha unakuja..
Hapa najiuliza na hili wenzetu mtalikalia kimyaa? Na hili Baraza la Maaskofu na kanisa katoliki ni sahihi kwenu?
Hivi ikitokea katiba ikabadilishwa na mtu.
Wenu Mungu akamchukua na akarithiwa na muislam ... mtaendelea kukaa kimyaa na urais wa maisha? Au nyinyi nyote mtaaamka na kuanza kudai haki za kiraia na demokrasia pana na kila aina ya haki mtazikumbuka?
Msisahau nyinyi mna mipango yenu na Mungu ana mipango yake..msije..geuka huko mbele