Ukana Shilungo
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 3,041
- 2,423
Viongozi wanapoaapa kwanini wanashika vitabu vya dini???Mkuu usichanganye siasa na dini tafadhali sana msituharibie nchi
Wananchi wa Tanzania wana dini lakini Nchi haina dini tuwe makini katika hili tusije kuingia matatizoni
Mfumo wa dini Tz Kuna mfumo kristoInaonekana nchi hii Rais akiwa muislam.
Basi kutwa tunapatiwa waraka wa Uongozi Bora unaoheshimu katiba kutoka
Kwa Viongozi WA kanisa katoliki
Na Baraza la maaskofu.
Wenye kumbukumbu wote mnakumbuka jinsi hata tetesi zikitokea wakati wa Kikwete ..haraka Sana taasisi hizo zinatoa matamshi makali kukemea na hata kutishia hali ya amani kutoweka huko mbele iwapo
Katiba haitaheshimiwa.
Sasa leo Spika wa Bunge kazungumza bungeni kabisa kuwa mpango wa kubadili katiba tuwe na Rais wa maisha unakuja..
Hapa najiuliza na hili wenzetu mtalikalia kimyaa? Na hili Baraza la Maaskofu na kanisa katoliki ni sahihi kwenu?
Hivi ikitokea katiba ikabadilishwa na mtu.
Wenu Mungu akamchukua na akarithiwa na muislam ... mtaendelea kukaa kimyaa na urais wa maisha? Au nyinyi nyote mtaaamka na kuanza kudai haki za kiraia na demokrasia pana na kila aina ya haki mtazikumbuka?
Msisahau nyinyi mna mipango yenu na Mungu ana mipango yake..msije..geuka huko mbele
Hawatoweza,watapayuka tuKuna siku Rais atakuwa muislam na yeye wampe ukimyaa huu huu
Mtu akiongea ukweli ni vizuri ukajadiliwa kuliko kutishana...Mleta hoja kwangu mimi yupo sahihi sana...Wakati wa Kikwete Kanisa Katoliki liliongea sana kuhusu haki,amani ,Demokrasia na utawala bora ila leo wapo kimya ..ni Lutheran tu angalau wanajaribu kukosoa,kushauri na kupinga mambo mabaya.Mkuu usichanganye siasa na dini tafadhali sana msituharibie nchi
Wananchi wa Tanzania wana dini lakini Nchi haina dini tuwe makini katika hili tusije kuingia matatizoni
Maraisi Wakatoliki wanatawala kwa mkono wa chuma. Kwenye utawala wao haongei Muislam wala haongei Mkristo wote tunakuwa Makondoo tu na wananchi wote tunalimia meno kwa maisha magumu.
Kuna siku Rais atakuwa muislam na yeye wampe ukimyaa huu huu
Boss tatizo sio dini ya kiongozi...tatizo ni mfumo na namna ya uongozi.
Unaposema akiwa mwislamu watapiga kelele, je kwa sasa kuna Shekhe yeyote aliyejaribu kuonya namna ya uongozi wa sasa? Kama vile baadhi ya viongozi wa BAKWATA wanavyolaumiwa kuwa wasaliti vile vile hata ktk viongozi wa dini ya kikiristo wapo wanaopamba mapambio. Ila wako wengi ambao wanakosoa na wataendelea kukosoa hata kesho.
Wengi wanataka kusema sio wakristo sio waislamu ila wanashikwa na kigugumizi wakifikiria ya akina Kakobe na wenziwe
Kwa sasa rais ni kijana wao "altar Boy" kwa hiyo nyaraka zao wamezihifadhi. WANASUBIRI rais awe Muislam ndiyo waibuke na waraka kama kawaida yao.Inaonekana nchi hii Rais akiwa muislam.
Basi kutwa tunapatiwa waraka wa Uongozi Bora unaoheshimu katiba kutoka
Kwa Viongozi WA kanisa katoliki
Na Baraza la maaskofu.
Wenye kumbukumbu wote mnakumbuka jinsi hata tetesi zikitokea wakati wa Kikwete ..haraka Sana taasisi hizo zinatoa matamshi makali kukemea na hata kutishia hali ya amani kutoweka huko mbele iwapo
Katiba haitaheshimiwa.
Sasa leo Spika wa Bunge kazungumza bungeni kabisa kuwa mpango wa kubadili katiba tuwe na Rais wa maisha unakuja..
Hapa najiuliza na hili wenzetu mtalikalia kimyaa? Na hili Baraza la Maaskofu na kanisa katoliki ni sahihi kwenu?
Hivi ikitokea katiba ikabadilishwa na mtu.
Wenu Mungu akamchukua na akarithiwa na muislam ... mtaendelea kukaa kimyaa na urais wa maisha? Au nyinyi nyote mtaaamka na kuanza kudai haki za kiraia na demokrasia pana na kila aina ya haki mtazikumbuka?
Msisahau nyinyi mna mipango yenu na Mungu ana mipango yake..msije..geuka huko mbele
Mimi ni Mkatoliki ,kazi ilifanywa na kanisa katoliki kupitia TEC baraza la maaskofu sasa inafanywa na BABA ASKOFU DR BENSON BAGONZA,DR STEVEN MUNGA, BISHOP BANDEKILE WA KANISA LA MOROVIAN LA UAMSHO.Inaonekana nchi hii Rais akiwa muislam.
Basi kutwa tunapatiwa waraka wa Uongozi Bora unaoheshimu katiba kutoka
Kwa Viongozi WA kanisa katoliki
Na Baraza la maaskofu.
Wenye kumbukumbu wote mnakumbuka jinsi hata tetesi zikitokea wakati wa Kikwete ..haraka Sana taasisi hizo zinatoa matamshi makali kukemea na hata kutishia hali ya amani kutoweka huko mbele iwapo
Katiba haitaheshimiwa.
Sasa leo Spika wa Bunge kazungumza bungeni kabisa kuwa mpango wa kubadili katiba tuwe na Rais wa maisha unakuja..
Hapa najiuliza na hili wenzetu mtalikalia kimyaa? Na hili Baraza la Maaskofu na kanisa katoliki ni sahihi kwenu?
Hivi ikitokea katiba ikabadilishwa na mtu.
Wenu Mungu akamchukua na akarithiwa na muislam ... mtaendelea kukaa kimyaa na urais wa maisha? Au nyinyi nyote mtaaamka na kuanza kudai haki za kiraia na demokrasia pana na kila aina ya haki mtazikumbuka?
Msisahau nyinyi mna mipango yenu na Mungu ana mipango yake..msije..geuka huko mbele
Usikimbie kivuliMkuu usichanganye siasa na dini tafadhali sana msituharibie nchi
Wananchi wa Tanzania wana dini lakini Nchi haina dini tuwe makini katika hili tusije kuingia matatizoni
Hivi bakwata na masheikh wao hawawezi kutoa waraka Hadi tuwalalamikie maaskofu tuu?The Boss, baraza la maaskofu na huyo pengo wote NI masanamu yenye tabasamu pana usoni. Hawana guts za kuikemea serikali. Wao ni sawa na saa mbovu, Mara mbili kwa siku huonesha majira sahihi Kama saa nzima
Hivi bakwata na masheikh wao hawawezi kutoa waraka Hadi tuwalalamikie maaskofu tuu?