Zanzibar 2020 Urais Zanzibar 2020: Barua kwa Balozi Ali Abeid Amani Karume (Barua ikilenga kumchafua)

Shida ni fomu ya uraisi ama nini??
Mbona hamkuyasema zaman haya yote??

Kama ni ya kwelii? dah inasikitisha
 
Rais wa Zanzibar hachaguliwi Zanzibar bali pale Dodoma. Chafuaneni, kashifianeni, dhalilishaneni lakini atakayepitishwa na CC ya CCM, iwe ni huyo Ali Karume au mwingine yoyote kazi yenu ni kumpokea na kukubali kuishi nae akiwa Rais wenu, period
 
Wewe nawe umejirundikia manaya kwako, umeandika hayo yote kwa kujaa wivu tu. Pole kwamba haukupata bahati kama yake maishani. Na kama alitenda hayo yote, polisi unapafahamu.

Shame on you
Mkuu hapo hapana hata kimoja cha uongo, Kama huamini nenda Zanzibar au hata muulize rafiki yako yoyote aliepo Zanzibar akuthibitishie haya ila sharti awe ni mtu wa makamo au mzee.

Naamini huyo kaambiwa aombe tu ili kunogesha mambo ila kwa record zake ambazo zipo wazi kabisa hawezi kuwa rais wa Zanzibar. Kesi yake ya ubakaji na kuuwa ni maarufu mno kule visiwani.
 
Hamada umelewaaaa
Nimemkumbuka bi kidude
ila hiyo ya kufukua mitaro ni hatari na nusu.
 
Hiyo barua ilikuwa umuandikie Rais alipokuwa anamteua katika hizo nyadhifa.. CCM muwache unafiki
 
Mambo ya Ali karume nishayasikia sana nikiwa Zanzibar 2016-2018 jamaa ni mchafu anayenuka. Maisara pale kila mtu anamjua hasa dadapoa. NI VILE TU ZANZIBAR WAZURI SANA KWA KUTUNZIANA SIRI.
 
Wewe nawe umejirundikia manaya kwako, umeandika hayo yote kwa kujaa wivu tu. Pole kwamba haukupata bahati kama yake maishani. Na kama alitenda hayo yote, polisi unapafahamu.

Shame on you
Tulia dawa iingie vizuri upone
 
Mdanganyeni aendelee na hizo mbio muone atakavyonyonyolewa
 
Jela huku ulimwengu wa tatu, Ni za masikini Mkuu. Tabaka tawala liende jela? Africa? Hata ukamilifu wa dahari.
 
Fatuma karume aje atueleze hii ya kuficha pesa ughaibuni asije akawa anarusha mawe wakati yuko kwenye nyumba ya kioo hii ya mauaji inajulikana muda mrefu
Fatma alikuwa mtoto hajui chochote. Shangazi aachwe anafanya kazi ya Umma vizuri, aulizwe baba yake.
 
Naomba kujuzwa
Kumbe Fatma ni mjukuu na kama ni mjukuu ni mtoto wa nani kati ya watoto wa Mzee Karume?
 
Unapotangaza kuwa unataka kuoa ndio watu wanaalikwa kutoa dukuduku. SASA USISHANGAE BAADA YA KUTANGAZA NIA NDIO UNAPATA HAYA.
Urais kama maandalizi ya kuoa kanisani, kama una makombo kombo lazima watangaze Mara tatu kuonfoa zuio LA kupokea sakalament. Ali kama ana madhambi, urais no sakalament isyo na doa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…