SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Kwa hiyo Prince Ally ni mbakaji,muuaji,mfiraji na mlevi kufa? Mbona braza yake pamoja na wizi na ulevi wake bado aliongoza vizuri tu miaka Kumi? Mleta mada na wewe ulijuaje bwana Ally ni mfiraji? Kweli CCM Ni shetani,Uvccm happy wanapoaje? Wote kumbe hawana marinda.
Mami ni hilo tu huna jengine kweli?Duh...!.
P
Naomba kujuzwa
Kumbe Fatma ni mjukuu,na kama ni mjukuu ni mtoto wa nani kati ya watoto wa mzee Karume?
Ni kweliHivi ni kweli alibaka na kua demu? Ccm inaficha menginaisee
Ccm wanaambiana ukweli, sio kama chadema, mnajidanganya, na hakuna wa kumwaambia ukweli Mbowe kuhusu usharati wake.Wanaccm hawaachiani maji ya kunywa mezani - Kikwete
Hiyo pesa imemfaidisha sana, imemsomesha ughaibuni, ana majumba kemkem Dar, Zanzibar na London, kwa kipato gani?Fatuma karume aje atueleze hii ya kuficha pesa ughaibuni asije akawa anarusha mawe wakati yuko kwenye nyumba ya kioo hii ya mauaji inajulikana muda mrefu
Ufisad was baba hauhesabiki, kaa kuhesabika ccmbwalitakiwa wawe wamekufa wrote. Familia ya mamvi, be, zingekuwa hoi. Bila kumsahau mramba. Fatima Umuache awapambaniae wakina mamaCcm wanaambiana ukweli, sio kama chadema, mnajidanganya, na hakuna wa kumwaambia ukweli Mbowe kuhusu usharati wake.
Pia hebu mshutue Mwanasheria wenu asiyeshinda kesi na wa kukodishwa Bi Fatma Karume aje aone hili somo. Kumbe amekulia hela za wizi " Us$ 20,000,000:00, alafu bado ana warukana watu wengine kwa ufisadi, aanze na Baba zake na awaambie warudishe mali walizoziiba wakiwa Pamoja na Baby ma Bibi yake
Sijui aliwakosea nini mzee wa watu!Mzee Mangula walitaka kumdedisha
Alikataa Membe kuvuliwa uanachamaSijui aliwakosea nini mzee wa watu!
Hiyo dhambi itawatafuna hadi waishe
Ukimuuliza atakwambia unanuka, makwapaFatuma karume aje atueleze hii ya kuficha pesa ughaibuni asije akawa anarusha mawe wakati yuko kwenye nyumba ya kioo hii ya mauaji inajulikana muda mrefu
Wajiondoe kwa katiba ipi??Watoto wa waliokuwa Maraisi wa Zanzibar wote wajiondoe ktk kuwania Urais wa Zanzibar.
Urais wa Zanzibar sio wa Kisultani kuachiana madaraka.
Karume and Mwinyi yaani mjiondoe tu.
Msitegemee madaraka ya kubebwabebwa hii ni aibu.
Utamaduni wa kurithishana madalaka hadi vijukuu ni Big NO.
Binafsi, napenda kushabikia siasa, lakini si kuishiriki kwa kuomba kura! Kuna watu wanayajua ya watu, kuliko hao watu wanavyojijua!Hivi ni kweli alibaka na kua demu? Ccm inaficha menginaisee
Ukitaka kujijua juwa ni msafi au vepe gombea chochote, utachafuliwa jukiko debeBinafsi, napenda kushabikia siasa, lakini si kuishiriki kwa kuomba kura! Kuna watu wanayajua ya watu, kuliko hao watu wanavyojijua!
Ndio maana ktk nchi za Visiwani au Uarabuni mnaapenda kuongozwa Kisultani.Wajiondoe kwa katiba ipi??
Sheria ipi inawataka watoto wa waliowahi kuwa viongozi wasigombee!??
Wao ni raia kama raia wengine wana haki kikatiba kuchagua na kuchaguliwa katika nafasi yoyote ile.
Kuwa kwao watoto wa wastaafu wakuwaondolei haki hii muhimu.
Baba akiwa daktari, mtoto nae akija kuwa daktari sawa ila baba akiwa kiongozi mtoto akiwa kiongozi Nongwa..!!
Mchagueni tu mwaya. Kesho Fatma Karume naye anaenda kwa CHADEMA.Ndio maana ktk nchi za Visiwani au Uarabuni mnaapenda kuongozwa Kisultani.
Ni swala la kutumia Busara tu.
Babu Karume alikuwa Rais wa Zanzabar.
Mtoto Karume pia kaongoza
Sasa hivi mnamchagua Mjukuu.
Ni swala la kutumia Busara tu.
La sivyo chagueni kuongozwa na Sultani.
Tena wengine huko bado mnamkumbuka Sultan Sayyid Said na mnataka kumrudisha.
Basi mchague Sultani toka Ukoo wa Karume au Mwinyi.