Zanzibar 2020 Urais Zanzibar: Kwanini nawapa chapuo Makame na Mwinyi

Kwani katiba inawazuia watoto wa viongozi kugombea?
 
Mwinyi hapo anatoboa.Zanzibar wana upemba na uunguja.Rais anaemaliza muda wake ni mpemba.
Licha ya upemba wake, Prof Makame anastahili zaidi kuliko Hussein. Katika kipindi cha miaka mitatu alichokaa wizara ya ujezi amefanikiwa sana kuibadilisha wizara nahasa utendaji wa taasisi zake kama Bandari na Shirika la Reli na hata TANROADS aliwasimamia vizuri sana. Amepimwa na amefaulu mtihani tena kwa kishindo.

Simsemi sana Hussein kutokana na kutokupata kipimo sahihi cha kuongoza key ministries - mfano ujenzi, kilimo, mifugo au wizara ya viwanda. Kudumu kwake wizara ya ulinzi kunatokana na fact kwamba ni wizara iliyo structured na haiingiliwi kiutendaji na hata kimaamuzi kwa zaidi ya asilimia tisini. To me, Prof Makame is the best
 
Umeongea point mkuu,ngoja tusubiri
 
Tunajua kanisa katoliki limeshaamua na tumejiandaa kwa mengi tu kumpokea
Hakuna kanisa linalohusika hapo. Ni CCM pekee, nambari wani, mbele kwa mbele, na haijaanza leo.
Au unataka kutuambia kuwa Jecha Salim Jecha alitumwa na kanisa katoliki?
 
Kwa mtazamo wako Wizara ya Ulinzi siyo key ministry?
 
Hakuna kanisa linalohusika hapo. Ni CCM pekee, nambari wani, mbele kwa mbele, na haijaanza leo.
Au unataka kutuambia kuwa Jecha Salim Jecha alitumwa na kanisa katoliki?
Kwani hivi hujui CCM ni ya kanisa katoliki? Tukuletee ushahidi?
 
Wazenji mna mikwara sana lakini mwisho wa siku huwa mnaufyata tu...
 
Hadi sasa wamefikia 22 [emoji2817][emoji2817][emoji2817]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…