... huo ni mtazamo wako usilamishe kila mtu aelewe ulivyoelewa wewe! Rais alikuwa very clear, nanukuu,
" ... sio kwamba hampati; mnapata lakini jipimieni; jipimie! Kwa mfano kuna lile nililolisema la ujenzi wa meli; kuna kijiajenti huko pembeni kinalipwa milioni 2 dola kwa kila meli. Hiyo sio sawa, sio sawa! Sijui kuna ujenzi wa barabara, fedha itagawiwa kwanza weee barabara ikijengwa inakuwa compromised, viwango vinakuwa compromised ..."
Rais alitakiwa akemee vitendo hivyo in strongest terms possible na sio kuviongelea kwa soft language - 'JIPIMIENI MSIVIMBIWE' maneno ambayo ameya-connect moja kwa moja na fedha za miradi tena kwa mifano. Kinyume chake wewe unataka tuamini alimaanisha "watosheke na mishahara na haki zao nyingine kisheria"; usitufanye wote wajinga humu.