mulwanaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 5,262
- 12,855
Hata yesu mwenyewe kuna vitu hakuelewaka kabisa, kama kile kitendo cha kuosha demu magdalena miguu yake ulimwelewa lengo lake?Urefu wa kamba yako ni Mshahara wako na stahiki nyingine kisheria ndio maana Rais akasema kula kulingana na Urefu wa kamba yako wala hakusema uibe mali za Umma!! Wabaya wa Samia kisiasa ndo wanasambaza ujinga huo!!!
Hivi ukiamua kukosoa kila kauli ya rais si utafika 2030 ushabaki skeleton kweli!!? Kiumbe pekee ambae alieleweka moja kwa moja kauli zake ni Yesu tu maana alikuwa mungu hakika hivyo alikuwa ana kuprogramu kabla hajakulisha neno,,,,Rais anaweza asieleweke kwa wote maana si Mungu!!!