Urefu wa kamba yako ni mshahara wako na stahiki nyingine kisheria. Msimlishe maneno Rais Samia

Na alipotoa tahadhari usile ukavimbiwa alikuwa alikuwa akimaanisha nini? Mtu anaweza kuvimbiwa mshahara na marupurupu yake?
 
Ungekuwa kiswahili umeki master hapa ndipo palikuwa pa kupima comprehension skills zako!
Na alipotoa tahadhari usile ukavimbiwa alikuwa alikuwa akimaanisha nini? Mtu anaweza kuvimbiwa mshahara na marupurupu yake?
Connect the dots now
 
... huo ni mtazamo wako usilamishe kila mtu aelewe ulivyoelewa wewe! Rais alikuwa very clear, nanukuu,

" ... sio kwamba hampati; mnapata lakini jipimieni; jipimie! Kwa mfano kuna lile nililolisema la ujenzi wa meli; kuna kijiajenti huko pembeni kinalipwa milioni 2 dola kwa kila meli. Hiyo sio sawa, sio sawa! Sijui kuna ujenzi wa barabara, fedha itagawiwa kwanza weee barabara ikijengwa inakuwa compromised, viwango vinakuwa compromised ..."

Rais alitakiwa akemee vitendo hivyo in strongest terms possible na sio kuviongelea kwa soft language - 'JIPIMIENI MSIVIMBIWE' maneno ambayo ameya-connect moja kwa moja na fedha za miradi tena kwa mifano. Kinyume chake wewe unataka tuamini alimaanisha "watosheke na mishahara na haki zao nyingine kisheria"; usitufanye wote wajinga humu.
 
Hahahahahahah nilimlaumu sana Ndugai kwa kuomba msamaha wakati alikuwa sahihi kuhoji kile alichohoji! This statement one is beyond normal kutoka kwa amiri jeshi mkuu wa taifa.
Kabisa,kwamba wajipimie Kwa kiasi maana anajua kula wanakula!Basi wale Kwa kiasi🤣🤣
 
Kwa hiyo rais anajua watu wana vunja sheria anawabembeleza waache?
 
Mwinyi yamemshinda zanzibar amebakia kusema uchumi wa bluu ambao haueleweki kwa wananchi wa z'bar hapa ndo umeonesha kinachokusumbua ni mfumo dume siyo kingine
Hiyo rimoti ya msoga itaweza vipi kuongoza nchi kama mshika rimoti mwenyewe aliishia kubembea kule jamaica!
 
Samia atawaua mpaka 2030 mtakoma!! Mkishapewaga na sukari na mashati ya ccm mnaona hiki ndo chama!!! Samia anawajua vzr yuko anaandaa pesa ya sukari na tshirt 2025 hamchomoki
 
M
Hiyo rimoti ya msoga itaweza vipi kuongoza nchi kama mshika rimoti mwenyewe aliishia kubembea kule jamaica!
Mbona alivyokuhonga Sukari na tshirt hukusema bwege wewe!! Leo kulikon !?
 
Samia atawaua mpaka 2030 mtakoma!! Mkishapewaga na sukari na mashati ya ccm mnaona hiki ndo chama!!! Samia anawajua vzr yuko anaandaa pesa ya sukari na tshirt 2025 hamchomoki
... hoja umeianzisha mwenyewe; badala ya kujikita kwenye hoja yako mwenyewe, unaongea upumbavu! Hii inadhihrisha ulichokianzisha ni ujinga. Nimekupuuza.
 
... hoja umeianzisha mwenyewe; badala ya kujikita kwenye hoja yako mwenyewe, unaongea upumbavu! Hii inadhihrisha ulichokianzisha ni ujinga. Nimekupuuza.
Jipuuze kwanza kwa kuwa mjinga unahongwa sukari 1kg na shati unacheeeeka!! Bwege wewe
 
Wewe ndiye unamlisha Rais maneno bali unajaribu kufanya tafsiri kinyume, yeye alisema; "mbuzi hula sawa na urefu wa kamba yake---- na kuleni msivimbewe", sasa hebu tuambie mtu anawezaje kuvimbewa stahiki zake???!!😱
 
Samia tunae mpaka 2030 afanye vzr ama vibaya!!! Wala hana tabu anajua hii mitaahira Sukari na tshirt vyatosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…