Urefu wa kamba yako ni mshahara wako na stahiki nyingine kisheria. Msimlishe maneno Rais Samia

Hata yesu mwenyewe kuna vitu hakuelewaka kabisa, kama kile kitendo cha kuosha demu magdalena miguu yake ulimwelewa lengo lake?
 
Mwambieni ajifunze kutoa kauli zilizonyooka. Mtakuwa mnakuja mitandaoni kumtetea hadi lini na matamko yake yaliyojaa ukakasi na yenye kukosa dira.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwambieni ajifunze kutoa kauli zilizonyooka. Mtakuwa mnakuja mitandaoni kumtetea hadi lini na matamko yake yaliyojaa ukakasi na yenye kukosa dira.

Sent using Jamii Forums mobile app
We bwege acha ujinga kauli ipo wazi kuwa wapige madili kwa kiasi na akatoa mfano wa meli inajengwa wakala alikula dol mil mbili wakati hana kazi. Tumia akili acha upumbavu
 
Hawa jamaa wajinga sana. Mtu akishaambiwa ajipimie ina maana ajiamulie mwenyewe. Hiyo ni ruksa ya kuvunja sheria za mishahara na stahiki halali.
Nimefikiri mbali sana na neno lako "jipimie" , Kuna demu alikuwa anapenda kujipimia tukikutana maeneo
 
Jipuuze kwanza kwa kuwa mjinga unahongwa sukari 1kg na shati unacheeeeka!! Bwege wewe
... mimi na wewe nani bwege? Unaleta ujinga humu halafu unajadili tofauti na ulichokileta; hujui umeleta mada gani unajadili upumbavu? Jinga kweli kweli!
 
Baada ya kifo cha Sokoine, hakuna Rais yeyote atathubutu kukemea au kuanzisha vita zidi ya ufisadi wa vigogo wa nchi hii. Msijidanganye na msiwe wanafiki.
 
Sasa wewe mshabiki wa mama ndio unampandikiza maneno hajasema. Ukisema kula kuhusiana na ofisi ya umma kila mtu anajua ni kula hela ya umma. Ni bahati mbaya sana mtu mwenye mentality kama samia amekua rais wa jamhuri. Huu ndio ukweli hata mkibisha.
 
Hata yesu mwenyewe kuna vitu hakuelewaka kabisa, kama kile kitendo cha kuosha demu magdalena miguu yake ulimwelewa lengo lake?
Yesu alieleweka kwa aliowataka!! Ndo maana nilikwambia alikuwa ana kuprogramu kwanza
 
Kwanini yeye hakufafanua?
 
Sasa wewe mshabiki wa mama ndio unampandikiza maneno hajasema. Ukisema kula kuhusiana na ofisi ya umma kila mtu anajua ni kula hela ya umma. Ni bahati mbaya sana mtu mwenye mentality kama samia amekua rais wa jamhuri. Huu ndio ukweli hata mkibisha.
Wakati unachukua kg1 ya sukar nantshirt hukuona!?
 
Hahahha we jamaa tabu sana! Umemaliza yote! Ila mleta uzi ni chawa anafikiri watanzania ni wajinga maana ya kujipimia utakavyoona inafaa! Kwa hiyo taahira tu atamuunga mkono huyu chawa!
 
Kilaza mkubwa wee! Mshahara unavimbiwa?
 
Sasa wewe mshabiki wa mama ndio unampandikiza maneno hajasema. Ukisema kula kuhusiana na ofisi ya umma kila mtu anajua ni kula hela ya umma. Ni bahati mbaya sana mtu mwenye mentality kama samia amekua rais wa jamhuri. Huu ndio ukweli hata mkibisha.
Kwa upeo alionao alitakiwa awe afisa mtendaji wa kata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…