Urembo ulionishinda mimi.....

Urembo ulionishinda mimi.....

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu wengine ukiwaangalia utasema wamelazimishwa vile.

Ila uzuri ukishapata mpenzi wako huna shida ya kusumbuka sana kuwaangalia.
 
Evelyn Salt, una sifa zote za wadada wanao tafutwa kwa ajiri ya ndoa hapa town.

Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app
 
Watu wengine ukiwaangalia utasema wamelazimishwa vile.

Ila uzuri ukishapata mpenzi wako huna shida ya kusumbuka sana kuwaangalia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Humu leo kila mtu natural.... Haya bwana...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani mkuu hapa nacheka tyuu lol yaani team artificial Leo tupite mbali wadada jf kila mtu og;afu nyie masponsor msiwe wanafiki vicheche wenu wengi ni fake [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
mimi pia nazipenda...

ipo siku ntaanzisha Daftari la wapiga kura kwenye Paja moja[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] watu muhimu wote... siku nikipotea wanirudishe kwetu

Sent From my C5 wereva
0653633937
Wachoraji wa tattoo na pia wanafuta tattoo.
dc5f86a1340628ab7ae4b9c93d1f79cc.jpg
 
Hiyo ligi ya kupak wanja looh kama kun mwalimu humu anifundishe khaa natia aibu
Utavumilia darasa au ndo utaleta mdomo ufukuzwe kama mie ha ha ha ha
Nami nipo uniweke kwenye hilo darasa sahivi mdomo nauweka plasta
 
Utavumilia darasa au ndo utaleta mdomo ufukuzwe kama mie ha ha ha ha
Nami nipo uniweke kwenye hilo darasa sahivi mdomo nauweka plasta
[emoji2][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23]shog wew sas hiv ni vitendo tu kumbe wapik eeeh[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Hizo nzuri lakini tatizo linakuja ukizoea kuacha inakuwa kazi.
Halafu ukiziweka sana zinapunguza eyebrows.

naonaga wadada wamepunyuka kbs kope zao!ila ukimpata mtu anaezijuia walah unaitaaaaa! ila yale ya mkanda yakishamba!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani mkuu hapa nacheka tyuu lol yaani team artificial Leo tupite mbali wadada jf kila mtu og;afu nyie masponsor msiwe wanafiki vicheche wenu wengi ni fake [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Hahahahahaaa
 
Back
Top Bottom