Urembo ulionishinda mimi.....

Urembo ulionishinda mimi.....

Teh!, Inabidi kufanyia mazoezi kwanza.
Alinifundishaga aunt yangu, alikuwa akinunua heels anazivaa ndani kwanza kama a week or two ku make sure amezizoea vizuri, then ndo anatoka nazo nje kwenye kadamnasi.
Ni kweli bwana ukizizoea vizuri ndani hazikupi shida sana nje, kuliko kuziingia mazima.
Ila heels ni nzuri uvae na kigauni Kifupi afu na mguu uwe kama Chupa ya safari lager kupendeza lazma
 
Si ndio uzuri wa wedges, base yake iko poa sana halafu hata juu napenda vilivyo wazi na kufanya viwe poa zaidi. Viatu vya mke wa Shein vikoje?

Mtu aliyekuwa ananikosha asee alikuwa mama Salma Kikwete, nilikuwa simmalizi na heels zake halafu sasa anavyojua kuzitembelea..

nashangaa na mm vipo poa nashindwa! hahaa viatu vyake utacheka ufe! yeah mama kikwete ni modern woman had raha!
 
Wewe ni mhenga,vipi badala ya undersketi unavaa nini??enzi zetu hakukua na skin tight.kuruka unacheza netball,maini unayaona live

Sent from my TECNO-N6 using JamiiForums mobile app
 
Kuna vingine sijawahi kujaribu, vingine nimejaribu vikanizidi uwezo....

1: kupaka wanja kwenye nyusi
Huu urembo ulinishinda tangu enzi za mwalimu, kila nikijaribu naona nakua Kama nyau hasa hasa wanja mweusi, basi nikijaribu kupaka nafuta naendelea na mambo mengine, mara chache nimejaribu wanja wa brown napaka kwa mbaaali naona unakuja kuja mdogo mdogo ntaweza.

2: kuvaa wig/kushonea weaving
Hapa nimeinua mikono, wig nilivaa mwaka flani wakati naanza kusokota dread siwezi kwenda kazini vile, nikanunua wig kwanza dukani tu naambiwa linauzwa elf 25 nikashtuka nlijua buku ten, nikanunua nikavaa mmh najiona nakua kama kanjibai, linawasha, lina joto nlipata shida, nywele zilivorefuka sijarudia tena huu urembo siuwezi kabisa.

3: kubandika kucha
Nilijaribu siku moja kutoa ushamba, naona shost angu kila siku anabandika anapendeza, akanipeleka namie nikabandika mmh siku hiyo hata kutandika kitanda nilishindwa, kuchomeka shuka kwenye godoro ikawa tabu, siku chache nikazoea, siku ya kuzibandua sasa yani zinang'olewa utadhani nimetekwa nlikua na kazi ya kupiga kelele kama kimbwa, sirudii tena sitarudia kabisa.

4: kubandika kope
Hii kujaribu tu siwezi make, nikiwaona kina mwajuma ndalandefu wanavokua huwa nacheka, kope zinasimama utadhani mtu kavaa kofia, yana wenyewe haya

5: kupaka cream/kujichubua
Hii kazi ya kujipa mateso hii, uso mweupe miguu myeusi, kuna siku nliwekewa maji ya cream bila kujua ushamba huu, nimeulizwa tu niweke maji nkajibu eeh weka nlijua labda glycerin, duh siku mbili tu nkaanza kuwa kama tumbili....

Wewe huwezi nini?

Nb: naombeni mniambie mafuta ya nywele natural, naona nywele zinakatika
Aisee hongera sana best kwa kutokubali kuwa mtumwa wa asili yako, hayo mazagazaga uliyoyataja huwa nawashangaa sana hao wayavaayo, mwanamke wangu Mimi siwezi kuruhusu upuuzi huo akaufanya
 
Madame Eve, mimi sijawahi fanya vyote ulivyotaja! Am natural naturally yaani kuna wakati nayoa nywele weee nikianza kusuka inanilazimu kusuka rasta mara chache hadi zikue bado naona kero. Kutinda nyusi na wigi naona kama jini hivi , kucha zakubandika kama zimwii daaahhh @hashtaggg#teamnaturalbeauty#
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Kuna vingine sijawahi kujaribu, vingine nimejaribu vikanizidi uwezo....

1: kupaka wanja kwenye nyusi
Huu urembo ulinishinda tangu enzi za mwalimu, kila nikijaribu naona nakua Kama nyau hasa hasa wanja mweusi, basi nikijaribu kupaka nafuta naendelea na mambo mengine, mara chache nimejaribu wanja wa brown napaka kwa mbaaali naona unakuja kuja mdogo mdogo ntaweza.

2: kuvaa wig/kushonea weaving
Hapa nimeinua mikono, wig nilivaa mwaka flani wakati naanza kusokota dread siwezi kwenda kazini vile, nikanunua wig kwanza dukani tu naambiwa linauzwa elf 25 nikashtuka nlijua buku ten, nikanunua nikavaa mmh najiona nakua kama kanjibai, linawasha, lina joto nlipata shida, nywele zilivorefuka sijarudia tena huu urembo siuwezi kabisa.

3: kubandika kucha
Nilijaribu siku moja kutoa ushamba, naona shost angu kila siku anabandika anapendeza, akanipeleka namie nikabandika mmh siku hiyo hata kutandika kitanda nilishindwa, kuchomeka shuka kwenye godoro ikawa tabu, siku chache nikazoea, siku ya kuzibandua sasa yani zinang'olewa utadhani nimetekwa nlikua na kazi ya kupiga kelele kama kimbwa, sirudii tena sitarudia kabisa.

4: kubandika kope
Hii kujaribu tu siwezi make, nikiwaona kina mwajuma ndalandefu wanavokua huwa nacheka, kope zinasimama utadhani mtu kavaa kofia, yana wenyewe haya

5: kupaka cream/kujichubua
Hii kazi ya kujipa mateso hii, uso mweupe miguu myeusi, kuna siku nliwekewa maji ya cream bila kujua ushamba huu, nimeulizwa tu niweke maji nkajibu eeh weka nlijua labda glycerin, duh siku mbili tu nkaanza kuwa kama tumbili....

Wewe huwezi nini?

Nb: naombeni mniambie mafuta ya nywele natural, naona nywele zinakatika
Where were you wakati natafuta mke wa kuoa? Doooh I wish...........
 
Hahahah!, kwa kweli heels ni urembo mzuri na tuzipende tu lakini shughuli yake si ndogo.
Halafu ukute zimekubana na zinauma kwenye vidole, asee mbona utatamani kutambaa barabarani?!, ndo maana na prefer wedges, zenyewe ziko poa hata kama mtu mzito.

espy Heaven Sent mrs air
Haha chezea kuswing wewe, tutavaa tu heels hata kama magoti yanatangulia mbele. Mweeh shikamoo heels
 
hahahaha mie nimeacha kuvaa high heels! nimegain wait bas nakua nahis kisigino kinashake nw navaa midheels tu! ktk vitu vilivyonishinda ni wedges! huez amin huwa naanguka had chini! hahaha!nimegawa sitak kuumia mie!
Sijui kwan nini, sivutiwagi na wedges kabisaaa

Back
Top Bottom