CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,296
- 12,972
hahahahaha tena kilikupendeza kama flaviana matata vile big up na mimi itabidi niige mfano wako
Hahahahaaa... Tena hapo ulikiona usiku, kione mchana wa jua kali uone kinavyong'aa.... I like it!!!!
Thanks God saiv najikubali the way I am, kipilipili changu aisee nakipaka olive oil kinang'aajee???
Awali nilikichukia sana nikawa natafuta any means kukificha but mwisho wa siku nikaona ulimbukeni tu. Nywele unaihangaikia weeee haikui wala ninj khaaaaa!!!!!
Tupa kule wacha chogo ling'azwe na upara......
C.C walokuwa party!!!!!
Aisee nilinyoaga upara I looked so young and naive. Kama mtoto wa shule. Sitaki tena. Sasa hivi I have an afro that I never comb. Lols.
natural is beauty
Thanks God saiv najikubali the way I am, kipilipili changu aisee nakipaka olive oil kinang'aajee???
Awali nilikichukia sana nikawa natafuta any means kukificha but mwisho wa siku nikaona ulimbukeni tu. Nywele unaihangaikia weeee haikui wala ninj khaaaaa!!!!!
Tupa kule wacha chogo ling'azwe na upara......
C.C walokuwa party!!!!!
Mbona hiyo elfu 40 au elfu 50 ni ndogo sana kwa mwanamke kutengenezwa nywele salon? Hivi unajua kuwa kuna misuko hadi ya Tshs 200,000 na watu wanalipa?
Muambie huyo na ubahili wake. Hajui kuna lace wig la milioni tzs za kibono!
Hahaaaa. Wewe na Mndengereko wale waleee.
I have a bounty on my head mjini hapa. Niko WANTED for some crime, nisije kamatwa bureee.sio walewale manenomengi hula vitendo we weka picha tujiridhishe kama hivyo hata mimi naweza nikasema nina rasta.
hahahahahahahahahahah naomba muwe mnajitambulisha jinsia jamani si unaona tunavyowachanganya
oh kumbe sorry basi,naona una jua mambo ya nywele ndo mana nkajua wewe ni KE
Ha ha haaaa usijari mkuu yote ni maisha! Najua avator na uchambuzi wangu ndizo zimekupelekea wewe kuhisi kama mimi ni KE
Inategemea amenunua weaving gani na amekwenda kushonewa salon gani...kama ni haya masynthetic hair ya Darling na Angel yaliyojazana kariakoo kama njugu ni lazima yachomoke hovyo hovyo na muwasho juu.nywere zinawapendeza ofcoz.but kinachonikera ni kwamba hizo unywele moja moja they are everywhere jikoni, sebureni, etc
Mwekundu,umewahi kwenda salon na kusafishwa miguu? (Pedicure)Nywele ni sehemu ya urembo kwa mwanamke hata vitabu vya dini vimesema
very seldom kwa mwaka onceMwekundu,umewahi kwenda salon na kusafishwa miguu? (Pedicure)