julius mahinya
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 1,152
- 384
yaah point...umeongea kitu kizuri sana, inachotakiwa ni wewe mwenyewe kujipanga kabla ya kwenda salon.mhh kutaka nywele uwe na STYLE MOJA all the time INABOA mbona...smtym watu hapa sio kwamba tunapenda marasta sana bt nywele za kiafrika kama zangu hazirefuki kivileee japo unaweza bana lakn mhh sipendi short hair myself,labda niweke mirija,so mtu unaweka weaving kuongeza urefu,na kusuka rasta kuzikuza nywele zako
La msingi ni USAFI WA HZO NYWELE, kuwa selective na style ambazo kila wiki unaweza osha nywele
U'fake ukizidi sio siri inachukiza,..unakuta mtu mweusii af katupia weaving la gold,mhh,au lacewig hzi fake jistari kabisa tunaliona kwenye forehead,haipendezi
yaah point...umeongea kitu kizuri sana, inachotakiwa ni wewe mwenyewe kujipanga kabla ya kwenda salon.
Kabla ya kwenda salon make sure umechagua au kubuni hair style mzuri ambayo utapenda uwenayo kwa wiki moja,mbili,au tatu(maana ziko nyingi) pia ni kweli ukiweka macrazy color kichwani bila kuangalia unafanya kazi gani au unaishi familia gani
ni mbaya sana...tengeneza hair style ambayo utakuwa na amani nayo kwa kila mahala utakapokuwa au kwenda.
kwelii shoga,..weaving natural huwa chache af jepesi kama nywele zako halisumbui...
Wazungu ndo masters mbona wa ma'extension,sie tumeletewa tu,
Ilikuwa moja ya mjadala ulionichukua muda mrefu na mchumba wangu kuliko yote na alikataa kata kata hanyoi, hasuki nywele zake kama nywele zake na wala haachi kununua wigi (for emergence ikitokea). niliamua kuufunga mjadala kwa kukataa mawigi ya hovyo na kusukia uzi ila nikaruhusu kwa shingo upande baadhi ya mawigi, kusuka yebo yebo na kuchana nywele zake(ndio wazo langu pekee lilipita)! Hataenda nje ya hapo ila duh hawa wanawake noma!
OMG! Ha ha haa...mimi siyo KE mimi ni ME
Back to the topic...ni kweli wazungu au jamii ya wanawake weupe wenye nywele mzuri na ndefu wao ndiyo wanaongoza kwa kwenda kwenye ma salon...sasa jiulize why?
OMG! Ha ha haa...mimi siyo KE mimi ni ME
Back to the topic...ni kweli wazungu au jamii ya wanawake weupe wenye nywele mzuri na ndefu wao ndiyo wanaongoza kwa kwenda kwenye ma salon...sasa jiulize why?
oh kumbe sorry basi,naona una jua mambo ya nywele ndo mana nkajua wewe ni KE
Thanks God saiv najikubali the way I am, kipilipili changu aisee nakipaka olive oil kinang'aajee???
Awali nilikichukia sana nikawa natafuta any means kukificha but mwisho wa siku nikaona ulimbukeni tu. Nywele unaihangaikia weeee haikui wala ninj khaaaaa!!!!!
Tupa kule wacha chogo ling'azwe na upara......
C.C walokuwa party!!!!!
mbona wanatishaa