Urembo wa nywele za wanawake na haiba yake katika mahusiano

Urembo wa nywele za wanawake na haiba yake katika mahusiano

Kuna issue mbili hapo...si ela peke yake...nani ana muda wa kuweka ma.ta.ko. chini kwa masaa kadhaa kila wiki?

Kusuka kunahitaji moyooo...wengine hatuna hiyo subra.

Mimi siwezi kabisa kukaa masaa kuanzia 5 nasuka...hizo staili zipite tuuu.
Huko sawa Nyumba kubwa…lakini kumbuka watu hawafanani'wewe huwezi kukaa masaa hayo ila kuna wengine wanaweza kukaa masaa hayo na hata zaidi…pia siyo kusuka tu bali swala zima la salon linahitaji moyo kwani una
spend pesa na mda wako…na mtu yeyote anayependa urembo wa salon lazima kwanza akubaliane na hivyo vitu.
 
Kitu gani kimesababisha hadi nywele yako ikawa raini? umewahi ku retouch before? if yes…dawa yako ya mwisho ilikuwa ni ipi?

Natumia beautiful begining siku zote sijawahi badili.na product za argan oil kwa shampoo conditilonal etc
 
Kuna issue mbili hapo...si ela peke yake...nani ana muda wa kuweka ma.ta.ko. chini kwa masaa kadhaa kila wiki?

Kusuka kunahitaji moyooo...wengine hatuna hiyo subra.

Mimi siwezi kabisa kukaa masaa kuanzia 5 nasuka...hizo staili zipite tuuu.

ko Kichwani umeweka style gani!!!!!!!!!!
 
Najua wako wengi tu wana weza kukaa masaa 10 hata siku mbili wanasuka....Mimi urembo napenda na saloni ni mteja...ila nafanya chochote kisichochukua muda...ni mpenzi mkubwa wa wigs...niko tayari kununua kwa gharama yeyote kwa sababu zina save time

Kuna lace front wigs fulani zinaitwa Michelle Obama..toka nimezibamba nimekuwa mteja wa kudumu...

Huko sawa Nyumba kubwa…lakini kumbuka watu hawafanani'wewe huwezi kukaa masaa hayo ila kuna wengine wanaweza kukaa masaa hayo na hata zaidi…pia siyo kusuka tu bali swala zima la salon linahitaji moyo kwani una
spend pesa na mda wako…na mtu yeyote anayependa urembo wa salon lazima kwanza akubaliane na hivyo vitu.
 
Kufuga nywele ni kipaji kwakweli.....mi huwa najaribu lakini nashindwa!!

Ukikata napo unaonekana mdogoooo! aargh
 
Low cuts kwa wadada wengi ni ishu. Wengi wana vichwa vibayaaa wakikata nywele wanaonekana vituko. Ila swala minywele ya bandia uwa sili afiki saaana. Sijui tu nikioa uyo mwanamke itakuwaje
 
Sio swala la kutojiamini,inawafanya wapendeze mkuu,mi sifagilii kabisa mi natural hair.Unajua fashion ikishaingia usijifanye rigid sana,watu watashindwa kukuelewa unapo stick na mambo ya kizamani kisa unataka kuonekana natural au una maintain.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kuna wasichana walionyoa nywele wako sexy kudadeki, unakuta ana ile kitu inakaribia kipara ngoto.... afu na ka uso flani hvi kembamba, kapaka mafuta fresh kitu natural...
 
inategemea na uso na kichwa cha mtu pia wengine wana machogo unadhani wakinyoa watapendeza kama matata????????????

na ukumbuke wengine nywele zetu ni kipilipili mno tutazifuga kwa miaka mingapi mpaka zije kukua na kuvutia
itachukua miaka mingi mnoooo

hapana usijaribu kupotosha hakuna mwanamke anaetumia 50000 per week kwa ajiri ya kusukia labda wale matawi sana na hata hao sidhani
ghamara ya kusuka kimasai na mitindo mingine haizidi 40000 na hiyo inategemea na saloon
na ukisuka una weza ukaaa nazo wiki hata tatu
tunapozungumzia ubunifu hata kusuka rasta na yeboyebo ni ubunifu wa kiafrika pia

kuhusu hao wanaowashwa na nywele inawezekana ni uchafu wao binafsi nywele zilizosafishwa vizuri kabla ya kusuka huwa haziwashi ovyo

TaBU YOTE YA nini? haTA ikiwa ELFU 10 NDIYO UITUPIE KICHWAni kila WIKI? WENGI HAMUISHWI NA MAumivu ya KICHWA kwaSAbaBU Ya KUVUTWA minywele yenu kwa RAsta ZA kimaSAi...sio laZIMA unyoe, twende kilioni inaTOSHA! xsiku inhaPITA kichwa HAkijaGUSA maJI COZ YA minywele? kichwa NI MUHIMU SAna KUPAta MAji ili kupoza INGINI...wengi wenu haMUOGI KICHWAni...
 
yaaani mimi nisuke twende kilioni,??,??????? n baada ya kusuka naenda nazo wapi?????????,???? ohooooo mungu labda nishinde nazo ndani tu hiyo siku maana ni out of fashion
kichwa sio lazima kioshwe kila siku hata kila baada ya wiki inatosha

kuumwa na kichwa kwaweza kusababishwa na mengineyo ndugu yangu sio nywele tu
 
Back
Top Bottom