Quinine Mwitu
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 5,529
- 6,095
kama alikuwa kikaz Arusha,usiogope sana kwa kule ni kitu halali kabisa yaani ni kitu rasmi ila hilo la vimini ni lake mwenyewe,japo kuwa yawezekana anavaa kimini ili kukifanya kikuku kionekane,hawez vaa akiwa amevaa surual! kwa maeneo mengine kama zanzibar akivaa mguu wa kushoto huashiria mchezo mchafu zaid
KIFUPI kama unaweza mkataza,msaidie kwa kufanya hvo,kuna wengine wanavaa tuu bila kujua maana yake,hivyo tusimfikirie vibaya moja kwa moja,mpe elimu kwanza
KIFUPI kama unaweza mkataza,msaidie kwa kufanya hvo,kuna wengine wanavaa tuu bila kujua maana yake,hivyo tusimfikirie vibaya moja kwa moja,mpe elimu kwanza