ibra87
R I P
- Jul 22, 2015
- 5,614
- 5,351
Uko vyema sana brother. Mi nimeijua hii mitaa toka February, ila sijakutana na mtu. Hizo tutorials za maujanja yako tuna-download wapi? Inabidi utugawie hizo mbinu na sisi.
Unachotakiwa Kufanya Uwe mcheshi, uwe na utani wa hapa na pale, uwe mtu wa Kucheka na Kila binti hata kama Hujachekeshwa pia inapotokea kuna kitu Cha Kushauri basi Shusha nondo ambazo watoto wa kike wakisoma basi wanapata mtekenyeko wa Kukujua. Nishakutatana na Watano