Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Uko vyema sana brother. Mi nimeijua hii mitaa toka February, ila sijakutana na mtu. Hizo tutorials za maujanja yako tuna-download wapi? Inabidi utugawie hizo mbinu na sisi.

Unachotakiwa Kufanya Uwe mcheshi, uwe na utani wa hapa na pale, uwe mtu wa Kucheka na Kila binti hata kama Hujachekeshwa pia inapotokea kuna kitu Cha Kushauri basi Shusha nondo ambazo watoto wa kike wakisoma basi wanapata mtekenyeko wa Kukujua. Nishakutatana na Watano
 
Dah! Vyote ulivyovitaja ni out of my reach, ila nitajaribu Chief. Shukran sana.
 
siku ukiwa nae faragha,jifanye umepotea njia,ukiona anaifurahia,baas...jibu unalo...
Dunia ishakuwa ya hovyo sana hii mkuuu.
 
Teh wewe zichukue tu fursa. Ukipata fursa moja me kwangu zinakuja 10, kwa hiyo nakuombea tu upate mafursa
Haha. Usishindane. Mimi nina uwezo wa kukamata fursa mpaka siku ya mwisho. Ikibidi nabadili jina kwenda Paulo Sergio Hefner. Sisi tuna meno-play, if you whata mean [emoji6]
 
siku ukiwa nae faragha,jifanye umepotea njia,ukiona anaifurahia,baas...jibu unalo...
Dunia ishakuwa ya hovyo sana hii mkuuu.
Naunga mkono hoja yako..
Dunia imekuwa sehemu mbaya sana kuishi kimahusiano kwa karne hii. Tena nashauri kabisa kama umeona huyo anafaa kuwa mke, kitu cha kwanza hakikisha unaifaham status ya "O" yake, you can be tricky just to make sure you know. Vijana wengi wa kike na kiume wamekuwa wakiharibiana miili yao....muwe makini!!
 
Haha. Usishindane. Mimi nina uwezo wa kukamata fursa mpaka siku ya mwisho. Ikibidi nabadili jina kwenda Paulo Sergio Hefner. Sisi tuna meno-play, if you whata mean [emoji6]
Nashukuru kuwa nishatoa taarifa mapema, Hamna code nayoielewa na Google imegoma. Nimeamua tu kutokuelewa chochote siku ya leo[emoji13][emoji13]

Hivi ushawahi kusikia watu wanaitwa "kijukuu cha mtume"? Yani sisi hatunaga nature ya kushindwa jambo, na hatubishanagi na mtu ila mtu akibishana tu na mimi (hata kuwaza tu kubishana na mimi.. He/she has lost the battle tayari. Yani hadi me mwenyewe nachukia sometimes, no challenge at all[emoji126] [emoji126] [emoji133] [emoji133] #GODWIN#
 
Ukiona anakujibu "mbona kawaida tu"......jua mambo si mambo 😆 mkuu. Kuwa mjanja soma changes sio kulia lia.
 
mwanamke hana uwezo wakuficha tabia yake kwa miez 6 wewe jaribu kumuinginza kidole ukisikia oooooooooh baby aaaaaah ujue Tatar hapo ukikiona kastuka ujue hana michezo hiyo

Duuuh......hiyo yote ni kuhofia kikuku tu??!
Mie mbona huwa navaa nikijisikia na nakuwa comfortable kabisa mradi kamguu kangu naona kamependeza, iweje nyie mnaleta notion mbaya kiasi hicho?
Acheni hizo bhana!
 
Back
Top Bottom