Quinine Mwitu
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 5,529
- 6,095
Salaam kwenu wanaJF wote popote mlipo. Amani iwe nanyi.
Nimekuwa kwenye mahusiano ya takribani miaka mitatu(3) sasa na msichana ambaye awali alikuwa yupo chuoni ila kwa sasa ni mfanyakazi taasisi fulani hivi (jina kapuni). Amepangiwa nje ya MKOA wa DAR nilipo.
Tulipoanza mahusiano haya hakuwahi kunionyesha anayonionesha hivi sasa.
Amekuwa akipost pictures mbalimbali akiwa amevaa ''vimini'' na ''vishanga (vikuku)'' mguuni.
Nimejaribu kumuuliza nini MANTIKI ya hizo picha, kanijibu eti "mbona kawaida tu.
NIPO SO FRUSTRATED; ISIJE IKAWA KAANZA KALE KATABIA... MAANA NILISHA MTAMBULISHA KWA BAADHI YA NDUGU.
Tayali wajanja wameshatoboa ozone layer, so jiandae na Cabon dioxide
kipindi chote hicho asivae, aanze kuvaa kipindi hiki tena yupo mkoani??? inakuja akilini kweli??