Lububi
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 2,158
- 3,808
wakat mwingne hata elimu upate ya aje haikuteng sana na mtazamo wa kabila lako kimalez, mila na tamadun. ni vyema ukajua pia kabila lake lina mambo gani ambayo pengne la kwako si kawaida. mfano mi kwa kabila langu kuvaa shanga na vikuku ni dalili kubwa ya umalaya na ukahaba na uhuni. had leo naish mjin lakin nikiona mwanamke amevivaa stimu ya iman kwake zaid ya kuoshea rungu inakata. siwez mpa thaman ya ziada.