Freedom tommorrow
JF-Expert Member
- Jan 31, 2015
- 1,795
- 1,131
sikubaliani na wewe, huku kwetu shanga wanaotengeneza ni kina mama wala huo uganga hawahujui.
Wajinga ndio waliwao
Wajinga ndio waliwao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umalaya utakuua we mchungaji utakufa na ukimwi balaa wewe.
Bwana Yesu asifiwe!
Leo nataka niwafungueni macho kondoo zangu.
Wanawake wengi wamekua wakipenda sana kuvaa shanga viunoni wakiamini ili kuwafurahisha wapenzi wao. shanga ni moja ya vitu vinavyotumiwa sana na waganga wa kienyeji kwny kazi zao.
Hivyo ili kuwashambulia wanawake kwa njia ya mapepo, waganga wengi wa kienyeji ndio watengenezaji wa shanga izo na kuzisambaza madukani kupitia watu wao ambapo huwa wanazinuizia roho za mapepo ya aina mbalmbal kama ifuatavyo:
1. Atakaevaa awe mgumba
2. Atakaevaa awe malaya, kahaba
3. Kwa alyeolewa asidumu katika ndoa
4. Atakaevaa asifanikiwe kiuchumi, mpenda anasa
5. Atakaevaa awe na mashetani
6. Atakaevaa aachike
7. Atakaevaa mfumo wake wa hedhi uvurugike
8. Atakaevaa awe na magomvi ktk na mumewe
9. Atakaevaa aingiwe na roho ya hasira
Hivyo wapendwa wangu unaweza kuona hukuwa na tabia fulani lakini kwa kuvaa ukajikuta unabadilika.Ndo maana ili wakujue umevaa shanga unakua unazini na kila mtu.
USHAURI: Kabla hujavaa shanga peleka kwa MCHUNGAJI Akaziombee ili kutengua hayo manuizo.
Mie nina duka la kutengeneza bidhaa za shanga kama sandals, handbangs, keyholders, buckles, belts na pia waist -beads.
Una maana vijana wangu wanaoifanya hiyo kazi ni waganga pia,
Maana wanawake ndio huja kuzinunua wenyewe!
Douta na ww ni muumini?Amen bwana harusi mtarajiwa
Douta na ww ni muumini?
Teh teh teh.Bwana Yesu asifiwe!
Leo nataka niwafungueni macho kondoo zangu.
Wanawake wengi wamekua wakipenda sana kuvaa shanga viunoni wakiamini ili kuwafurahisha wapenzi wao. shanga ni moja ya vitu vinavyotumiwa sana na waganga wa kienyeji kwny kazi zao.
Hivyo ili kuwashambulia wanawake kwa njia ya mapepo, waganga wengi wa kienyeji ndio watengenezaji wa shanga izo na kuzisambaza madukani kupitia watu wao ambapo huwa wanazinuizia roho za mapepo ya aina mbalmbal kama ifuatavyo:
1. Atakaevaa awe mgumba
2. Atakaevaa awe malaya, kahaba
3. Kwa alyeolewa asidumu katika ndoa
4. Atakaevaa asifanikiwe kiuchumi, mpenda anasa
5. Atakaevaa awe na mashetani
6. Atakaevaa aachike
7. Atakaevaa mfumo wake wa hedhi uvurugike
8. Atakaevaa awe na magomvi ktk na mumewe
9. Atakaevaa aingiwe na roho ya hasira
Hivyo wapendwa wangu unaweza kuona hukuwa na tabia fulani lakini kwa kuvaa ukajikuta unabadilika.Ndo maana ili wakujue umevaa shanga unakua unazini na kila mtu.
USHAURI: Kabla hujavaa shanga peleka kwa MCHUNGAJI Akaziombee ili kutengua hayo manuizo.
teh teh..Unataka kuanza?Teh sijaanza bado
teh teh..Unataka kuanza?
Teh teh teh.Umalaya utakuua we mchungaji utakufa na ukimwi balaa wewe.
Teh teh teh.
Atakwambia " na ushindwe kwa jina la yesu" haleluyah....
Mchungaji kafungua duka mkuu. Acha akusanye kondoo kwa raha zake..
Kondoo wengi wana viburi sisi tukiwapa Daawa Sasa waache wakatafunwe na mbweha.
Maalim Nilikuwa likizo kidogo na ndio nimerudi na majukumu pia ni mengi tu alhamdulillah.Hii dini ni yakufutwa kabisa katika uso wa Dunia ila siku hizi maalimu naona kama umepunguza darsa juu ya hawa viumbe sijui ndivyo ilivyo au majukumu yanabana?
Maalim Nilikuwa likizo kidogo na ndio nimerudi na majukumu pia ni mengi tu alhamdulillah.
Ila hawa matapeli huwa nawapa bakora japo sii sana.
Nikitulia kiduchu ntarudi ulingoni kusafidha utwaghuti wa kuabudu picha na wachungwaji.
Tuko pamoja ustaadh haa mym
Kiluuj hebu njoo kwanza nimevutiwa na biashara yako achana na huyu anayefungua milango ya PM.
Well, kwa wageni kama wewe unaweza kuanza na kulike page yangu ya FB, 'jayzed beads products'. Japo siitumii sana utaona samples(viatu) zangu.
Baadaye nitakupatia Web Address yangu.