Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

Imani yao itawaponya......

Badala ya kuwafundisha na kueahimiza watu wawe na hofu ya Mungu mnawajaza hofu dhidi ya shetani na makandokando yake..

Wahimizeni kondoo wenu kuombea na kutakasa kila kiingiacho mikononi mwao na sio kuwatia woga wa kizembe.....

msifanye utani wanawake ktk ilo, shanga za kuvaliwa kiunoni zina siri kubwa tofauti na zile wanazoweka kwny sendo. ingawa unanunua kwa kijana lkn unapovaa tu imeshabadilika thamani hata huwez kumwonyesha tena yule aliye kuuzia. ZINGATIENI USHAURI KWANI WENGI HAWAJUI UTENDAJI WA KIROHO
 
Exactly, "you were" my daddy too

AR-141229594.jpg
 
hahahaha...huwa sipendi kucheka maneno ya watumishi ila kwa hili pastor nimekushindwa
sidhani kama kuna connection kwenye hilo, shanga zimekuwa zikivaliwa na mabibi zetu tangu enzi na enzi na ndoa zao zimekuwa zikidumu, zingine huvaliwa kama sehemu ya utamaduni wa makabila tofauti.
nadhani kila kitu shetani anaweza kukitumia ni mtu tu kuomba ulinzi wa mungu
 
kwanza demu akivaa shanga alafu we ukiwa na mazivu malefu huwa yanajisokota na inauma ile mbaya,
bora mtumishi uwaombee waache hizi maklitu!
 
hahahaha...huwa sipendi kucheka maneno ya watumishi ila kwa hili pastor nimekushindwa
sidhani kama kuna connection kwenye hilo, shanga zimekuwa zikivaliwa na mabibi zetu tangu enzi na enzi na ndoa zao zimekuwa zikidumu, zingine huvaliwa kama sehemu ya utamaduni wa makabila tofauti.
nadhani kila kitu shetani anaweza kukitumia ni mtu tu kuomba ulinzi wa mungu

mambo ya kiroho huwezi kuyaelewa, uhusiano uliopo ni mkubwa na ndio maana wanawake wamekuwa wakisumbuliwa sn na nguvu za giza kuliko wanaume. shanga ni kitu cha sirini kama ilivyo chupi, unaponunua unanunua wazi kabsa tena kwa mwanaume, lakini unapovaa unavaa sirini. mm cjazuia kuvaa ila ni muhm kuzikomboa kwa damu ya Yesu.
 
Back
Top Bottom